Mwanasiasa bora 2015-2020 PM Kassim Majaliwa ndiye Rais ajaye 2025

Kwa jinsi nilivyoona ujasiri wa Lissu kipindi cha kampeni pamoja na makamanda wa ufipa,baada ya uchaguzi ule ujasiri niliouona kwenye mitandao na mikutako ulivyopotea ghafla,naamini kabisa hati miliki ya nchi wanayo CCM.
CCM itaondoka madarakani kwa damu lakini siyo leo wala kizazi hiki kinachoogopa hadi mdoli na mende itachukua mda lakini kizazi hiki kitapita
 
Kwa mtazamo mpana Kassim Majaliwa ndiye mwana CCM makini na bora kama CCM itaendelea kuwa madarakani basi huyu PM Kassim Majaliwa ndiye mtu pekee anafaa kuwa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wana CCM wengi hawana mvuto ni mamluki na wabinafsi vizabizabina wa kujipendekeza ila Kassim Majaliwa ndiye pekee mwenye sifa ya kuwa kiongozi bora kutoka CCM na kuleta mshikamano wa kitaifa.

Tanzania bila upinzani na Demokrasia makini ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya taifa letu.

Mungu mbariki Kassim Majaliwa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Afrika


Si mpaka wafike mwaka huo

Aingiaye kwa upanga atatoka kwa upanga
 
Awamu ya sita hatujafika bado
Muda huu tunatakiwa kurudisha mahusiano na mataifa ya nje - kama kuna makandokando yetu tuyamalize - maana kuna watanzania pia wame file kesi ICC.

Yaani Tanzania ya Mwl.Nyerere leo inafikishwa ICC but still wahusika wanachekacheka tu.
 
Vyama siyo vya msimu tatizo ni serikali ya Ccm kutengeneza mazingira hatarishi kwa vyama vya siasa na kuunda serikali ya Makada wenye uchu wa madaraka waliokosa uzalendo
Uchu upi wa madaraka? uchu kama wa Mbowe na Lipumba wenyeviti wa kudumu au uchu kama wa Maalim seif kugombea yeye Urais kila mwaka?
 
Wataliii waliokuja baada ya hiyo covarage unawajua
Tajiri kichwa hebu tusaidiane kidogo. Ktk eneo la diplomasia sbb ktk almost 20yrs ago diplomasia yetu ilikuwa chini ya top diplomats officials ie Jakaya, Migiro na Membe hebu tusaidie ki uchumi kama Tz kule vijijini, wilayani na mikoani diplomasia hiyo ilitunufaisha vipi wa Tz?

Mfano alikuja Bush, Obama nk tulipata nn kwao zaidi ya CNN, BBC, CBS etc coverage? Nazungumzia miradi yenye impact ya uchumi moja kwa moja.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Kinacho mchafua Magufuli ni kuua demokrasia na kuwa Mungu mtu asiye hojiwa
Lakini ni mchapa kazi kama akitambua Mapungufu yake anaweza kunisaidia Tanzania lakini akiendelea hivi atadidimiza taifa
Fafanua ataua vipi? Sio kuchangia jumla jumla tu haipendezi. Kwa muono wangu kwanza JPM hajawahi onea mtu ktk maamuzi yake. Watanzania wengi viongozi walishamezwa na utendaji wa mazoea kwa hiyo nguvu yoyote kuwabadili toka ktk mentality hyo lazima ionekane mbaya rejea kauli ya SAMIA SULUHU ikulu Chamwino. So ilikuwa lazima Magufuli kutumia powers zake kikatiba kutu inject mentality ambayo aliamini itasaidia kuinua taifa na kuleta matunda kwa wa Tz wa chini. Ona Hussen Mwinyi, Majaliwa baadhi ya mawaziri na hata SAMIA wote kwa nyakati tofauti wameiga style ya utendaji wake. Je ni kitu kibaya?

Si hao tu hata mataifa ya nje, wananchi wanakiri Tanzanians have got a no nonesense president, others they go far asking God to bless their countries with president like MAGUFULI.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Magufuli mkombozi muonesha njia ya kweli na uzima wa Taifa.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Tajiri kichwa hebu tusaidiane kidogo. Ktk eneo la diplomasia sbb ktk almost 20yrs ago diplomasia yetu ilikuwa chini ya top diplomats officials ie Jakaya, Migiro na Membe hebu tusaidie ki uchumi kama Tz kule vijijini, wilayani na mikoani diplomasia hiyo ilitunufaisha vipi wa Tz?

Mfano alikuja Bush, Obama nk tulipata nn kwao zaidi ya CNN, BBC, CBS etc coverage? Nazungumzia miradi yenye impact ya uchumi moja kwa moja.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
vijiji vingi vina umeme sababu hiyo, jingine vyandarua na chanjo za watoto kila baada ya miezi sasa waweza maliza mwaka bila kusikia habar za chanjo
 
Ilisaidia kuanzisha na kupata mikakati mingi ya kukomboa umasikini vijijini kwa kushirikiana na program za nje ambayo hadi leo iko implemented na serikali hii.
Ni vema ukatendea ukweli nafsi yako ndg yangu. Nipo vijijini kila mara. Hiyo miradi ilikuwa midogo sana haikuwa na impact kwa jamii nzima Kama ilivo Sasa tunavopeleka barabara, maji, umeme, huduma za afya, shule, kilimo nk. Hapa jamii nzima inafaidika. Wanalima na kuweza kufikia masoko. Watumishi Sasa hata wakipangwa vijijini wanaenda sbb wanapata access ya huduma zote tofauti na hapo awali walisubiri gari la mkurugenzi wa halmashauri au gari la mradi ndio wawezi toka A kwenda B.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom