Feberia
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 542
- 220
mbona inasemekana kunawanaonunuliwa, hiyo nayo si rushwa?
wanaziba mbele nyuma wanaacha wazi
Hizo si zawino tu kama zile za kiwi?
mbona inasemekana kunawanaonunuliwa, hiyo nayo si rushwa?
wanaziba mbele nyuma wanaacha wazi
Amekamatwa nayo?Vyuma vimekaza kweli... Mwanasheria mzima wa NEMC unaomba rushwa 1 M.. na atasulubiwa ili ajifunze..
grease hiyo mkuuShame, mwanasheria unaomba karushwa ka 1m?
Pumbavu
Mtu mwenye akili timamu hutazama mambo yote na kila moja hulipima kwa uzito wake hapumbazwi na jema moja na kufuta maovu yote na wala hachukizwi na baya moja na kufuta mema yoye bali hupima jema kwa wema wake na kulipongeza na pia hupima ovu katika uovu wake na kulikosoa , hasombwi na upepo wa jambo moja moja , hizo ni sifa za mtu mwenye akili timamu kabisa na anaye jua kuzitumia hivyo anapo kosea sitaacha kusema ukweli maana mimi si muumin wa unafiki na uongo.Uongozi siyo kitu kidogo nyie, msijidai kuwa skeptical tu kila wakati. Nendeni mgombea basi ili mje mtufanyie hayo mnayojidai kukosoa kosoa. Viongozi wetu ni watu kama wengine so hata awe nani, hawezi kusimamia kwa ubora kila jambo kwa namna inayokupendeza.
Tuwa-judge kwa vitendo vyao but zaidi kwa dhamira zao. Tumekuwa na watangulizi wa JPM wote tuliona walivyokuwa wazito kwenye rushwa, amekuja huyu, sasa ndio tunajidai kumnyooshea kidole wakati yeye wenyewe ndo kaanzisha kampeni hiyo huku sisi ukiwa hatuamini kama atasimamia kwa mafanikio kama anavyofanya. Inawezekana Wewe ni mmojawapo wa walioathirika na kampeni za Mzilankende, hilo ni kosa lako, acha rushwa.
Rushwa kutoka kwa mkalimani?
Polisi wanamuomba rushwa hata ndugu yake, wala siwezi kuwatetea.
Unaweza kua na ishu polisi ukamtafuta ndugu yako unaefaham yuko hapo ukashangaa akakuomba rushwa na bado akipata tatizo la kifamilia atakuja kwako umsaidie.
Yeye sio mwanasheria.We unayo iyo ml1?
tena na polisi wawili...1ml÷3Shame, mwanasheria unaomba karushwa ka 1m?
Pumbavu
Pole yake hakunaga mtu asietaka vitu vizuri ..hususan pesaKongola kanisikitisha sana
alikuwa Dodoma Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali
akapanda juu mpaka akahamia Makao Makuu
sijui ni kipi kilimpeleka NIMR
kuanguaka ndiko kulipoanza
sasa vyuma vimebana agwe myago
"MBONA INASEMEKANA" .... kauli hiyo haina nguvu KISHERIA .... huwezi muweka yeyote BEHIND BARS kwa KUDHANIA kwamba ni mhalifu .... inakubidi uwe na HAKIKA na unachokituhumu ama sivyo sheria itakugeukia wewe mwenyewe kwa kosa la CHARACTER DEFAMATION ...mbona inasemekana kunawanaonunuliwa, hiyo nayo si rushwa?
wanaziba mbele nyuma wanaacha wazi