Mwanasheria wa NEMC akamatwa na TAKUKURU..

Mwanasheria wa NEMC akamatwa na TAKUKURU..

Mtu mwenye akili timamu hutazama mambo yote na kila moja hulipima kwa uzito wake hapumbazwi na jema moja na kufuta maovu yote na wala hachukizwi na baya moja na kufuta mema yoye bali hupima jema kwa wema wake na kulipongeza na pia hupima ovu katika uovu wake na kulikosoa , hasombwi na upepo wa jambo moja moja , hizo ni sifa za mtu mwenye akili timamu kabisa na anaye jua kuzitumia hivyo anapo kosea sitaacha kusema ukweli maana mimi si muumin wa unafiki na uongo.
Yawezekana wewe si miongoni mwa WAUMINI wa UNAFIKI na UONGO kama unavyojinasibu .... but kwa mtu mwenye BUSARA na anaewaza POSITIVELY ungeanza KUPONGEZA kwanza hatua ya hao TAKUKURU kuwakamata hao WALA RUSHWA ... mana RUSHWA NI ADUI WA HAKI na twapaswa tuipige vita wote regardless our POLITICAL STANDS/BELIEFS ndiposa UNGEONESHA MAPUNGUFU yao (TAKUKURU) katika areas wanazopwaya ama kujihusisha pia kwa namna moja ama nyingine .... Since they're like other Tanzanians ... they're actually not ABOVE THE LAW ... If I'm found guilty and put behind bars they should suffer the same ...
 
Hii serikali ili tuishi kilokole inatakiwa iboreshe mahitaji ya watumishi rushwa ni shinikizo la malipo madogo mtu analipwa basic salary laki 8(maxim salary kwa watumishi wengi serikalini) Toa income tax,bodi ya mkopo,bili ya umeme,kodi ya nyumba,ada ya watoto,bili ya maji,king'uzi,makato ya mkopo bank,mifuko ya jamii,taka taka,michango ya harusi,hajaumwa mtu au member wa familiy,usafiri kwenda na kurudi kazini,ale kazini ,aache hela ya kula nyumbani,hela ya vocha, emmegencies na vingine sijaviandika hapa vinamuandama mtumishi kwa nini asijiingize kwenye tamaa ya kupokea rushwa? VYOMBO VINGINE VIMEUNDWA KUTUFARAKANISHA WENYEWE KWA WENYEWE HUKU MTAANI IKUMBUKWE KILA MTU ANAPENDA AFANYE KAZI KILOKOLE SEMA SHIDA ZINAMSHINIKIZA INCHI NYINGI ZILIZOFANIKIWA KUPAMBANA NA RUSHWA ZILIBORESHA MASLAHI YA MFANYA KAZI KWANZA SIO TUNAKOMAA NA SHERIA NGUMU BILA TAFAKALI.
Mtu/ mtumishi asiyejitambua then kuwa na NIDHAMU YA PESA ... hata ungempa 2000000 Tshs as take home bado ataiba tu ... LET'S CHANGE OUR MIND SET (tubadirike kifikra)
 
Yawezekana wewe si miongoni mwa WAUMINI wa UNAFIKI na UONGO kama unavyojinasibu .... but kwa mtu mwenye BUSARA na anaewaza POSITIVELY ungeanza KUPONGEZA kwanza hatua ya hao TAKUKURU kuwakamata hao WALA RUSHWA ... mana RUSHWA NI ADUI WA HAKI na twapaswa tuipige vita wote regardless our POLITICAL STANDS/BELIEFS ndiposa UNGEONESHA MAPUNGUFU yao (TAKUKURU) katika areas wanazopwaya ama kujihusisha pia kwa namna moja ama nyingine .... Since they're like other Tanzanians ... they're actually not ABOVE THE LAW ... If I'm found guilty and put behind bars they should suffer the same ...
Si lazima nianze na unacho waza wewe naweza kuanza na nilicho nacho mimi maana kila mtu ana maono yake na mtizamo wake na uwezo wake wa kupembua mambo silazimishwi kupongeza kwa kazi ya kinafiki yenye mlengo fulani ,

mimi si mjinga kama wajinga wengi walio sombwa na wimbi la kupongeza kila kitu hata kwa vitu ambavyo ni wajibu wa mpongezwaji kuvitekeleza ,huo ni ujinga na utumwa wa akili ni sawa na kumpongeza mtu aliye kula halafu akabwana na haja akaenda chooni wakati huo ni mfumo kwamba lazima kitoke chakula cha awali ili kipya kipate nafasi mkuu sina huo upumbavu hata kidogo na siwezi kuwa mpumbavu wa kiasi hicho TAKUKURU hawana nia ya dhati kupambana na RUSHWA wana tuletea maigizo tu ili kuiridhisha nafsi ya mtu na siwezi kuwa mjinga na mpumbavu kutia pongezi zangu maana nitaingizwa kwenye kundi la wajinga la timu pongeza.
 
DRQE3FzX0AAjQWG.jpg

Naona Takukuru ya sasa imenoa meno!

Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira(NEMC), Bernard Kongola na Polisi wawili wa kituo cha Mbweni wanashikiliwa na TAKUKURU kwa mada ya kuomba Rushwa ya Shilingi milioni 1 kutoka kwa Mkalimani binafsi wa Kiwanda cha Yong Long Plastic Co. Ltd

Watu wa vitengo amkeni, acheni michezo ya Rushwa. Nyakati zime-change!
Kwani watafanywa nini?
 
Rushwa kutoka kwa mkalimani?

Polisi wanamuomba rushwa hata ndugu yake, wala siwezi kuwatetea.

Unaweza kua na ishu polisi ukamtafuta ndugu yako unaefaham yuko hapo ukashangaa akakuomba rushwa na bado akipata tatizo la kifamilia atakuja kwako umsaidie.
Miongoni mwa watu wapumbavu ni hao
Jamaa
 
Mission at work! Naona rushwa imegawanyika sana
 
Uongozi siyo kitu kidogo nyie, msijidai kuwa skeptical tu kila wakati. Nendeni mgombea basi ili mje mtufanyie hayo mnayojidai kukosoa kosoa. Viongozi wetu ni watu kama wengine so hata awe nani, hawezi kusimamia kwa ubora kila jambo kwa namna inayokupendeza.
Tuwa-judge kwa vitendo vyao but zaidi kwa dhamira zao. Tumekuwa na watangulizi wa JPM wote tuliona walivyokuwa wazito kwenye rushwa, amekuja huyu, sasa ndio tunajidai kumnyooshea kidole wakati yeye wenyewe ndo kaanzisha kampeni hiyo huku sisi ukiwa hatuamini kama atasimamia kwa mafanikio kama anavyofanya. Inawezekana Wewe ni mmojawapo wa walioathirika na kampeni za Mzilankende, hilo ni kosa lako, acha rushwa.
Kwani huyo mtu wako
kuna lipi lamaana alilofanya
 
Si lazima nianze na unacho waza wewe naweza kuanza na nilicho nacho mimi maana kila mtu ana maono yake na mtizamo wake na uwezo wake wa kupembua mambo silazimishwi kupongeza kwa kazi ya kinafiki yenye mlengo fulani ,

mimi si mjinga kama wajinga wengi walio sombwa na wimbi la kupongeza kila kitu hata kwa vitu ambavyo ni wajibu wa mpongezwaji kuvitekeleza ,huo ni ujinga na utumwa wa akili ni sawa na kumpongeza mtu aliye kula halafu akabwana na haja akaenda chooni wakati huo ni mfumo kwamba lazima kitoke chakula cha awali ili kipya kipate nafasi mkuu sina huo upumbavu hata kidogo na siwezi kuwa mpumbavu wa kiasi hicho TAKUKURU hawana nia ya dhati kupambana na RUSHWA wana tuletea maigizo tu ili kuiridhisha nafsi ya mtu na siwezi kuwa mjinga na mpumbavu kutia pongezi zangu maana nitaingizwa kwenye kundi la wajinga la timu pongeza.
Nami yalikuwa ni mawazo yangu pia kwa kadri ya ninavyoamini ... by the way you've got the right to think and do whatever you feel like ...
 
Kongola kanisikitisha sana
alikuwa Dodoma Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali
akapanda juu mpaka akahamia Makao Makuu
sijui ni kipi kilimpeleka NIMR
kuanguaka ndiko kulipoanza
sasa vyuma vimebana agwe myago
Nemc and not NIMR next time soma vzr then ndo ujibu vzr UKWAJU we
 
DRQE3FzX0AAjQWG.jpg

Naona Takukuru ya sasa imenoa meno!

Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira(NEMC), Bernard Kongola na Polisi wawili wa kituo cha Mbweni wanashikiliwa na TAKUKURU kwa mada ya kuomba Rushwa ya Shilingi milioni 1 kutoka kwa Mkalimani binafsi wa Kiwanda cha Yong Long Plastic Co. Ltd

Watu wa vitengo amkeni, acheni michezo ya Rushwa. Nyakati zime-change!
cc mshana jr.
 
Vyuma vimekaza kweli... Mwanasheria mzima wa NEMC unaomba rushwa 1 M.. na atasulubiwa ili ajifunze..
Halafu siyo peke yake yuko na Polisi wawili maana yake wakigawana ni laki tatu. Acha nao wanyee debe nyambafff zao.
 
Back
Top Bottom