Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,539
- 9,081
Migogoro mingi hasa ya ardhi utakuta kuna mkono wa wakubwa kuanzia Mkurugenzi, mkuu wa wilaya na idara yote ya ardhi hivyo anapoletwa kiongozi yeyote eti kuna clinic ya masuala ya ardhi akifika tu anapigwa bahasha afunge mdomo wake pale anabaki kutimiza wajibu tu ionekane kama anawasililiza kumbe yote mnayoongea anayaacha hapo hapo!Siku Moja ikaitishwa clinic ya ardhi.. NIKAENDA kwa bashasha. Kufika kule nikaandikishwa jina... Kisha anaeniskikoza akawa anaangalia kuleeee anakwambia we endelea nakuskiza katkat a aongea na WENZAKE kisha akaniambia jitahid uende mahakaman.... So hata hizo vituo vitakua vinafanya hivi hivi hakuna haja ya kuvianzisha, huko ni kuchezea Kodi zetu
Hii ndo Tz
Bila katiba mpya tutabaki hivi mpaka Yesu arudi