Nzenzu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 858
- 164
Chama chake kinafahamika ni ccm, subirini baada ya muda si mrefu mtakubaliana na mimi!
Ataenda kugombea ubunge.
Chama chake kinafahamika ni ccm, subirini baada ya muda si mrefu mtakubaliana na mimi!
Chama chake kinafahamika ni ccm, subirini baada ya muda si mrefu mtakubaliana na mimi!
Dhambi iko wapi kuwa mwanachama wa ccm ? Mbona ccm mnaiona kama haina haki au wanachama wake hawana haki?
Huu ni ufinyu wa mawazo na udhaifu ktk kukabiliana na changamoto, mnashindwa kutetea hoja mnaanza kuamisha watu kuwa mwanachama wa ccm ni dhambi.
Akichangia hotuba ya Waziri wa Sheria na Katiba alianza kusema kwamba niliwahi tena kusema kuwa mimi sio mwanachama wa Chama chochote.
Baada ya baadhi ya Wabunge kuanza kumcheka,akasema kwamba sijasema kua sijawahi kua mwanachama wa chama chochote!!
Lakini pia akipinga Hoja ya Mnadhimu wa kambi ya Upinzani Bungeni alisema kwamba Bungeni sio mahala pa kulalamika kwani anaona baadhi ya Wabunge wakifanya Bunge kama sehemu ya kuleta Malalamiko.
Akijibiwa na Tundu Lissu alisema kua Bunge ndipo sehemu sahihi ya kuleta malalamiko na Kazi ya Bunge ni kuisimamia na Kuokosoa Serikali.
Swali: 1. je ni kweli Mwanasheria wa Serikali hana Chama kama anavyodai?
Swali: 2. Ni kweli Bungeni sio mahala pa kupeleka Malalamiko?
Ila alisema pia si kwamba hajawahi kuwa na chama japo hajasema kama bado ana kadi