Kwenye Cv ya mwanasheria mkuu iliyopo kwenye kumbukumbu za bunge inaonyesha kwamba mwanasheria mkuu jaji Werema ni mwanachama wa chama cha mapinduzi(CCM) sasa sijajua hivi hii ni sahihi kwa mwanasheria mkuu kuwa na chama cha siasa?
Katiba mpya inatakiwa i omit hii kitu kwa kupunguza madaraka ya mkulu kwanza na kuweka conditions za namna nzuri ambayo nchi itapata mwanasheria mkuu, mabalozi na wakuu wa taasisi zingine mbalimbali zinazoendeshwa na kodi za wananchi, si mbaya tukiwaiga wakenya walivyopata viongozi wa tume ya uchaguzi, interview ilifanyika na jopo la wataalam na ilikuwa live kwenye television and the best were selected and not the well known!Kwenye Cv ya mwanasheria mkuu iliyopo kwenye kumbukumbu za bunge inaonyesha kwamba mwanasheria mkuu jaji Werema ni mwanachama wa chama cha mapinduzi(CCM) sasa sijajua hivi hii ni sahihi kwa mwanasheria mkuu kuwa na chama cha siasa?
Sikujua kama jamaa ni mpuuzi kiasi hicho. Kumdharau mwalimu aliyekupa maarifa?! Ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu.Bila kuwa mwanachama wa CCM nani ampe hiyo nafasi, si mnamshuhudia anavyotoa pumba wakati anavyosema Prof. Shivji ambaye ni mwalimu wake hajui lolote kuhusu katiba? Hicho ni kigezo cha kutumwa ki-chama kusema hayo lakini pia LLM yake ni online vile! AIBU KWAKE
Kwenye Cv ya mwanasheria mkuu iliyopo kwenye kumbukumbu za bunge inaonyesha kwamba mwanasheria mkuu jaji Werema ni mwanachama wa chama cha mapinduzi(CCM) sasa sijajua hivi hii ni sahihi kwa mwanasheria mkuu kuwa na chama cha siasa?
Bila kuwa mwanachama wa CCM nani ampe hiyo nafasi, si mnamshuhudia anavyotoa pumba wakati anavyosema Prof. Shivji ambaye ni mwalimu wake hajui lolote kuhusu katiba? Hicho ni kigezo cha kutumwa ki-chama kusema hayo lakini pia LLM yake ni online vile! AIBU KWAKE
Kwenye Cv ya mwanasheria mkuu iliyopo kwenye kumbukumbu za bunge inaonyesha kwamba mwanasheria mkuu jaji Werema ni mwanachama wa chama cha mapinduzi(CCM) sasa sijajua hivi hii ni sahihi kwa mwanasheria mkuu kuwa na chama cha siasa?
Mimi sidhani kama kuwa mwanachama wa chama gani kunamfanya mtu akose sifa za kutumikia chombo cha umma. Baadaye tutaangalia anatoka dini gani, mkoa au kanda gani au anapendelea timu gani. Muhimu ni kuwa mara tu anapokabidhiwa dhamana ya kuutumikia umma, anawacha ushabiki wake na kutenda majukumu yake kwa haki.
Kusema kweli sijui sheria wala kanuni za kuwa jaji wa mahakama kuu. Maelezo yangu ni ya hisia binafsi, nikizingatia professionalism ambapo mbali na elimu, mtu anatakiwa awe mkweli, mwadilifu na bila ya upendeleo katika maamuzi namatendo yake. Hata kama mtu hana chama (rasmi) lakini ikiwa katika matendo yake anapendelea chama fulani, huyo nafasi hiyo haimstahiki kama ambavyo Werema anatumia nafasi ya umma kwa misingi ya chama kwanza kuliko wajibu wake kwa umma, atakuwa amepotea na hatufai.kumbuka alikuwa jaji wa mahakama kuu kabla ya kuwa appointed katika nafasi ya sasa, kwa hiyo inaruhusiwa jaji wa mahakama kuwa na chama?
Kusema kweli sijui sheria wala kanuni za kuwa jaji wa mahakama kuu. Maelezo yangu ni ya hisia binafsi, nikizingatia professionalism ambapo mbali na elimu, mtu anatakiwa awe mkweli, mwadilifu na bila ya upendeleo katika maamuzi namatendo yake. Hata kama mtu hana chama (rasmi) lakini ikiwa katika matendo yake anapendelea chama fulani, huyo nafasi hiyo haimstahiki kama ambavyo Werema anatumia nafasi ya umma kwa misingi ya chama kwanza kuliko wajibu wake kwa umma, atakuwa amepotea na hatufai.
Mwengine atakuwa huyu werema ambaye kwenye CV yake imeoneshwa wazi kuwa ni mwanachama wa CCM. Mkuu, kwa Tanzania tegemea lolote lile, UDHAIFU kila pembe.huo ndio ukweli mkuu, majaji hawatakiwi kuwa na chama ila kuna stori kuwa kuna jaji alipata nafasi za kisiasa na kugundulika kuwa alikuwa mwanachama wa ccm wa siku nyingi sitamtaja jina lakini yupo