Mwanasheria Mkuu ampongeza Tundu Lisu; atakiwa kufuta kauli

Yaani wabunge wa CCM wanavyotetea posho zisikatwe kodi, kweli nchi yetu inaelekea pabaya.
 
Usishangae sana ndg yangu.Ukweli daima hujitenga na uwongo kama mafuta na maji.
Hongera sana mpambanaji Lissu.
 
Zito aomba mwongozo juu ya kauli ya kuudhi na ku dought kauli hzo za CAG labda kutokana na kuumwa kwake hivi karibuni, hayo yote yalisababishwa lisu kutaka yeyote atakayepatikana hajalipa kodi inampasa kufungwa au kulipa na penaty juu, na si kusikiliza visingizio sababu hvyo vinaleta rushwa ktk tume zinazojadili sababu za kutolipa kodi.

nimefuatilia ulipaji wa kodi wa waingereza yaani wale wakoloni ambao tumerithi mifumo yao mingi ya kijamii. Kampuni mpya inapewa muda wa mwaka mmoja tu wa kutolipa kodi (cooperate tax) lakini watumishi wake watalipa income tax, PAYE na national insurance.
Kampuni au wafanyakazi wakichelewa kulipa kodi, wanachajiwa interest kwa kila siku wanayochelewa kulipa.
Hapa kwetu mambo ni bongo mdundo, hakuna ajuae namna ya kufanya chochote , nadhani tunasubiri pia wawekezaji wa kuwekeza kwenye ukusanyaji wa kodi
 
wawekezaji kutolipa kodi miaka kumi kuanzia mwaka wa kwanza wa uwekezaj kwel serikal ipo serious? Ccm Imepitisha wapinzani wapinga hoja.
 
Hivi mlinote katika malumbano ya hoja kati ya AG na Lissu kuna wakati AG alipoona anazidiwa alisema, "Kumbuka mimi ndio mkuu wa Bar" Nadhani Alitaka kumtisha Lissu kuwa yeye ndio mkuu wa wanasheria. Lakini wapi Lissu aliendelea kutoa hoja!
 
Mb. Lisu ametoa mapendekezo ya kurekebisha mswada wa sheria ya fedha 2011, kwa kuwapa madaraka watendaji wa ngazi za chini katika ukusanyaji wa mapato, AG amekubali mapendekezo hayo na kuwashangaa wabunge kwanini hawajampigia makofi Mb Lisu kwa mapendekezo hayo. Live on TBC1 Now.



mnafiki tu huyo mwanasheria mbona baadae alianza kumponda lissu eti anaongea sana kwa sababu anaonekana kwenye television!!!!!!!!!!hana lolote huyo.
 
Fisadi (Kikwete) + (250 CCM) mi mbumbu wabunge = Tundu Lisu
nina wasiwasi kuwa hesabu za quadratic equations zilikuwa zinakusumbua,..yani hapo juu maana yake ni kwamba LHS=RHS,yani hao wa kushoto ni sawa na wa kulia,mabumbumbu ya kushoto ni sawa na lisu,yani lisu naye ni mbumbumbu
essay za history haziendi pamoja na equations za hesabu just like oil and water
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Zitto anapinga kuhamishia kwa Msajili wa hazina Treasury Registrar shughuli za CHC (consolidated Holdings of Corporations?) kusimamia mashirika ya umma yaliyobinafsishwa ili kulinda maslahi ya umma. Anasema Baraza la Mawaziri limetoa uamuzi huo baada ya kurubuniwa na wajanja wachache wanaotaka kujinufaisha wenyewe kwa kutaka kukwepa kulipa madeni wanayodaiwa baada ya kununua mashirika hayo.
 
Back
Top Bottom