Mwanasheria Mkuu ampongeza Tundu Lisu; atakiwa kufuta kauli

Apta Kayla

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
324
71
Mb. Lisu ametoa mapendekezo ya kurekebisha mswada wa sheria ya fedha 2011, kwa kuwapa madaraka watendaji wa ngazi za chini katika ukusanyaji wa mapato, AG amekubali mapendekezo hayo na kuwashangaa wabunge kwanini hawajampigia makofi Mb Lisu kwa mapendekezo hayo. Live on TBC1 Now.
 
Safi sana mwanasheria mkuu kwa kukubali ukweli na Lissu kwa ubunifu!!
 
nimekuta mwanasheria anafuta kauli yake wakati nawasha tv..ilikuwaje? naomba tàarifa wadau
 
Mwanasheria mkuu amwambie tundu "achae kuongea ongea ili aonekane kwenye TV, na pia afikiri vizuri"
 
leo jioni jaji werema amebanwa kufuta kauli yake baada kusema lugha ya kuudhi kama vile sio mwanasheria mkuu na kiongozi
 
Zito aomba mwongozo juu ya kauli ya kuudhi na ku dought kauli hzo za CAG labda kutokana na kuumwa kwake hivi karibuni, hayo yote yalisababishwa lisu kutaka yeyote atakayepatikana hajalipa kodi inampasa kufungwa au kulipa na penaty juu, na si kusikiliza visingizio sababu hvyo vinaleta rushwa ktk tume zinazojadili sababu za kutolipa kodi.
 
Wajinga ccm , hawana chakumpongeza mbunge wa upinzani.
Ccm haina mwenye akili . . . Vilaza dot com
 
leo jioni jaji werema amebanwa kufuta kauli yake baada kusema lugha ya kuudhi kama vile sio mwanasheria mkuu na kiongozi

Kwa hiyo na Zitto naye aliyefuta kauli kwamba Jaji Werema alikuwa ni mgonjwa ilhali si kweli naye hajabanwa bungeni?,mbona hujaisema hii......

Ushabiki kitu kibaya sana..
 
Zito amehisi pumba alizomwaga AG labda zinatokana kaugonjwa kalichompitia. Hii inaitwa msumar kwa msumar wa moto, kitaeleweka tu, magamba wote kimyaaaa!
 
Tz itajengwa na wenye akili na hekima na busara tu.....lakini haya yote huwezi kuyakuta kwa mwana ccm hata mmoja.................
Heko lissu...tupo pamoja
 
Kwa hiyo na Zitto naye aliyefuta kauli kwamba Jaji Werema alikuwa ni mgonjwa ilhali si kweli naye hajabanwa bungeni?,mbona hujaisema hii......

Ushabiki kitu kibaya sana..
...swahiba, ushabiki ktu kibaya, you have nailed....

naona tartiibu nawewe unauvaa ushabiki, mie nshaathirika na ushabii

shauriyako:A S 114:
 
mbona inajulikana na ipo wazi zaidi ya 99% ya ccm members wanafikiri baada ya kutenda! So hakuna jipya hata kwa huyu!
 
Back
Top Bottom