Mwanasaikolojia: Kuachana kwenye ndoa ni tatizo la afya ya akiili

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,293
3,965
Nimesoma mahali mwanasaikolojia anasema maneno hayo.

Pengine sasa tunahitaji ufafanuzi wa nini maana ya afya ya akili.

Maana mimi nijuavyo kuvumilia ujinga unaofanyika kwenye ndoa nyingi,inahitaji uwe na utaahira fulani.Maana ni jambo gumu kwa mwanaume kuvumilia mkewe amezalishwa na nwanaume mwingine ndani ya ndoa na akamvumilia.Inahitaji ujitoe akili sana.

Ndio maana hata wakristo wanaamini wafuasi waaminifu ni "kondoo". Kila mtu anajua mtu ukiambiwa we ni kondooo ni kama tusi.

Yaani mtu usiye na akili.Lakini ukweli hao makondoo ndio wenye uwezo wa kuvumilia ujinga mwingi kwenye ndoa.

Mara kadhaa hawa hawa wanasikolojia,hasa Dr Mauki,anawashauri wanawake wakiona kuna tishio la shambulio,waachane mapema.

Huwa simsikii akiwashauri waache matendo yanayomuumiza mwanaume.

Anakubaliana kwamba mwanamke ana uhuru wa kufanya chochote ili mradi ajifurahishe,kwa kuwa anafanya hivyo kutokana na mapungufu ya mwanaume.

Mi nijuavyo binadamu tuna mapungufu siku zote. Nadhani kama ni tatizo la afya ya akili, ni karibu binadamu wote tunalo.Inabaki bahati tu ya ni nani uliyempata kwenye ndoa na ana kiwango gani cha tatizo la afya ya akili
 
Maana mimi nijuavyo kuvumilia ujinga unaofanyika kwenye ndoa nyingi,inahitaji uwe na utaahira fulani.Maana ni jambo gumu kwa mwanaume kuvumilia mkewe amezalishwa na nwanaume mwingine ndani ya ndoa na akamvumilia.Inahitaji ujitoe akili sana.
Ndio maana hata wakristo wanaamini wafuasi waaminifu ni "kondoo". Kila mtu anajua mtu ukiambiwa we ni kondooo ni kama tusi.Yaani mtu usiye na akili.Lakini ukweli hao makondoo ndio wenye uwezo wa kuvumilia ujinga mwingi kwenye ndoa.
Haohao wamesema ukiona ndoa ina amani kwa muda mrefu basi ujue kuna mwanandoa mmoja ni mtumwa wa mwenzake
 
Back
Top Bottom