Mwanangu Zamda simuelewi kabisa

Usiwe na wasiwasi sasa katatulia maana kalichokua kakitafuta kamekapata...
 
Msaidieni tu kulea hiyo mimba atakuwa kajifunza.
 
Hapo ndio mwisho wa mapepe...maziwa kugeuka malapa,mvuto Ku "depreciate" na soko kuporomoka....haitaji tena maombi manake vidume wenyewe hatumtaki tena tumamwachia baba mtoto
Mbona Zari Ana watoto 4 na umri umeenda na bado chuchu saa 6 na mvuto bado anao????
 
Kashapata adabu yake mnyime mahitaji yote yasiolazima vocha na mengineyo,mpe kula na kulala,hadi ajifungue atakua kashakoma,
 
Nashauri, mbane akueleze baba wa hiyo mimba ni nani...

Akikataa, mnyime matumizi yote (ila sidhani kama utaweza kuvumilia)

Ukishindwa-: Mpe nauli arudi kijijini kwao na baba yake ili akajifunze huko.
 
Nashauri, mbane akueleze baba wa hiyo mimba ni nani...

Akikataa, mnyime matumizi yote (ila sidhani kama utaweza kuvumilia)

Ukishindwa-: Mpe nauli arudi kijijini kwao na baba yake ili akajifunze huko.
Unadhani watu wote wapo mjini??
 
Muozeshe
 
umetumwa na jirani yako..kwann utumwe na jirani kwani yeye mwenyewe hawezi kujisemea mwenyewe.... mi nasubiri jirani aje mwenyewe nimshauri maana wewe utayabadilisha na sie washauri kuonekana waongo
 
Umetumwa na jiran wakat unaitwa mama zamda
 
Yawezekana karithi tabia chafu fanya uchunguzi kabla ya kumlaumu mtoto
 
Zamda Zamda Zamda!!!!! kwa nini humsikii mama yako jamani, ona sasa ndo ushakuwa mama kijacho Zamda ni nani aliyekulogaaaaa??????
 
Et samahan,unaweza kuntajia vyuo dizain ya datastar ambavyo vimesajiliwa na nacte
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…