mama zamda
New Member
- Feb 7, 2016
- 4
- 1
Hebu niitie huyo zamda nimnyooshe!!au kama anasimu ni pm namba zake !!hana adabu kabisa!habari zenu,
nimejiunga jf kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto zamda,anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa dsm,lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona ,nimemkataza saaana na kumuonya lkini hakasikii,nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe waaaapi,leo kamefukuzwa shule kana mimba,nimeshindwa hata cha kufanya wadau!
ushauri wenu;
NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Haya ndio madhara ya kuruhusu watoto kushabikia chadema
Too fictional....!!! As if you are celebrating the trending of Zamda hata kama umetumwa na huyo asiyeweza ku log in JFhabari zenu,
nimejiunga jf kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto zamda,anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa dsm,lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona ,nimemkataza saaana na kumuonya lkini hakasikii,nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe waaaapi,leo kamefukuzwa shule kana mimba,nimeshindwa hata cha kufanya wadau!
ushauri wenu;
NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Jamani someni thread ndipo mje huku kujibu. Mama mwenyewe kasema; Zamda alikuwa kicheche wa kutupwa. Atamjuaje mume?? Si ajabu hata mtoto akaja na koo mbili. Mwombeeni aji wa ukoo mmoja, Si ajab mtoto akawa chotara ila sio wale wa kule pem,,Baba yake yuko wapi?
Jamani someni thread ndipo mje huku kujibu. Mama mwenyewe kasema; Zamda alikuwa kicheche wa kutupwa. Atamjuaje mume?? Si ajabu hata mtoto akaja na koo mbili. Mwombeeni aji wa ukoo mmoja, Si ajab mtoto akawa chotara ila sio wale wa kule pem,,