mzungu wapink
Member
- Oct 9, 2018
- 80
- 123
Mwanangu wa kiume 20 months anasumbuliwa na ngiri (Hernia). Inambana analia sana na kutapika, dawa tumekosa.
Naomba msaada wa kitaalam wengi wametushauri afanyiwe operation lakini hatuna Daktari mzuri wa kumwamini, so kama yupo aliye bora with an affordable price tutashukuru sana.
REGARDS
Baba mzazi wa mtoto..
TIA.