Mr Rocky jana nimekuita sana sijakuona tulikuwa mimi na Kongosho tu ila hata hivyo niliskitika kwa kilichompata Matola na pia nampongeza Mwali na zomba kwa kuendeleza.My dear gfsonwin nipo bana
Mjadala ulinibore nikaona naletewa data tuu siambiwi hizo data zinamfaidishaje mtu wa sumbawanga au maneromango au nkasi kule au huku kijijini kwangu Hungumalwa
Nikaona madata yenye masifuri sifuri mengi bila hata kujua yana faida gani
nikachanganyikiw anikaona bora nikale ugali wangu wa mtama nipumzike
gfsonwin walinichosha bana naona wanapongezana kwa kuweka data za kucopy na kupaste kutoka kwenye wizara zile zile ambazo zimejaa madudu kibao ya ufisadi halafu wanajisifia wamefanya kazi
Mr Rocky habari ya masiku bana long time no see kumbe upo kwa kina zomba na Matola so mshindi ni nani?gfsonwin walinichosha bana naona wanapongezana kwa kuweka data za kucopy na kupaste kutoka kwenye wizara zile zile ambazo zimejaa madudu kibao ya ufisadi halafu wanajisifia wamefanya kazi
Sijui Mkukuta sijui mkurabita maneno magumu ili kutuaminisha wanafanya kazi
Niliwaachia wewe na Kongosho muendeleze league na akina Mwali na zomba bana
Ngoja nishirikiane kumtafuta Ronn M