Bora wewe umepona ๐Hivi unajuaje humu unapigwa ban bila sababu za msingi,? Mods mnaonaje mkishea sababu ya mdau kupigwa ban jukwaani?๐ค
Mnapiga ban nyepesi mno bila kutoa sababu na maelezo yakinifu ๐ค
amini maneno yangu ndio sheria na kanuni za Jf zinavyosemaBwashee , sio kihivyo tuombe tu kueleweshwa kwa hili
Anayepigwa ban hua anapewa maelezo au sababu ya kupigwa ban,pia na muda atakao tumikia kifungo,Bwashee , sio kihivyo tuombe tu kueleweshwa kwa hili
Nina uhakikaTulia kijana ๐คฃ
Alikua anaumwa nini?Bora wewe umepona ๐
tukana tena ๐Wewe ni lijinga Bwashee ๐
๐๐๐ sababu huwa zipo zinatolewa kwa muhusika broSio kweli mimi mbona sikuona ?
Siamini kama mpaka sasa hivi nipo huru!
Hadi serani?
Boya wewe ungerudia tena ilo tusi ungepata ban ya 2 weeks immediatelyUsinitishe bwashee ๐
Bwashee wewe kula tu pombe ila usianzishe tu uzi,Bwashee tule pombe tu ๐