Mwanangu Kim Jong Un

Ni kweli Mkuu wamesahau kuwa USA ilipigwa vibaya na Vietnam tu ambaye ni mbegu moja na Mkorea

Wamekariri kwamba USA ni baba wa dunia
Sahihi kabisa
 
kweli wakati si milele! Miaka saba iliyopita nilianzisha uzi huu wakati wa vugu vugu kubwa sana la vita kati ya Korea Kaskazini na USA, uzi ulikuwa na wanazi na ligi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…