Mwanangu kapata DIV 4, nimpeleke kozi gani?

Mwanangu kapata DIV 4, nimpeleke kozi gani?

kandenyela

New Member
Joined
Oct 30, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Jamani mwanangu kapata Div 4 ya point 27. Naomba ushauri nimpeleke kozi gani
 
Mpeleke kozi ya ufundi
Umeme wa majumbani
Umeme wa Magari,
Ujenzi
Kozi zipo nyingi sana inategemea na passion yake
 
Catering ni biashara inayolipa vizuri. Akiwa na ujuzi hakosi biashara kwakua kila siku watu wanakula.
 
Yeye anataka kusomea nini? usijekua unapoteza muda wako bure
 
Back
Top Bottom