miss nyakanazi
Member
- Apr 29, 2013
- 49
- 14
Eti mtoto alimuona baba yake anakojoa akamuuliza baba hiyo nini? baba akamwambia mwanangu hii inaitwa heshima, mtoto akakua na kujua kile kitu kinaitwa heshima...cku moja yule mtoto akawa anapata kipaimara so home kukawa na sherehe...baada ya sherehe mtoto akaambiwa asimame atoe heshima mbele ya wageni..mtoto akasimama akatoa silaha....yake mbele ya wageni...afu akasema naomba na baba yangu asimame atoe heshima yake mbele yenu kwani ya kwake ni kubwa kuliko yangu.....watu teh teh teh teh teh teh teh tehhh.................!!!!!!!