Mwanangu anakoroma sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanangu anakoroma sana

Discussion in 'JF Doctor' started by Crucial Man, Apr 9, 2012.

 1. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Wanabodi hemima kwenu,mwanangu ana umri wa miaka mitatu.yaani dogo akilala anakoroma sana,wasi wasi wangu ni kwamba anaweza akaendele na ka habit haka mpaka ukubwani.napenda kuuliza je kuna namna naweza nikastop ka habit? Je kukoroma ni ugonjwa au husababishwa na nini.? Asanteni in advance.
   
 2. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  je, wewe au partner wako anakoloma? anaweza badilika baadaye, lakini pia kampeleke hospital kwa uchunguzi.
   
 3. E

  Eugeniafaith Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mpeleke mtoto hospitali kwa uchunguzi...vema ukiwaona wataalamu wa masikio,pua na koo (ENT)
   
 4. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  wife ananiambia eti huwa nakoroma mara moja moja,lakini wife huwa akoro mkuu.
   
 5. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  thanks mkuu will co.
   
Loading...