Hapana halii mawazo yangu yalikuwa kama ni mtoto mdogo vikorodani vingekuwa vidogo. Sasa pumbu kuwa kubwa kwa mtoto wa wiki 3 hicho ndio kimenitishaKwani zimevimba au ukizigusa angalia? Kama jibu hapana relax.
Nitafanya hivyo nikaone shida iko wapiMpeleke dogo hospitali
Sukari ya warembo, kachunge Sana hako kadogo kataanza kubakwa mapema Sana na watu wazima.Hapana halii mawazo yangu yalikuwa kama ni mtoto mdogo vikorodani vingekuwa vidogo. Sasa pumbu kuwa kubwa kwa mtoto wa wiki 3 hicho ndio kimenitisha
Ni maumbile akiendelea kukua utaona kawaida maana mwili utaongezea, uwiano na mwili utaendana vizuri.Hapana halii mawazo yangu yalikuwa kama ni mtoto mdogo vikorodani vingekuwa vidogo. Sasa pumbu kuwa kubwa kwa mtoto wa wiki 3 hicho ndio kimenitisha
Asante somehow umenitia moyo. Pia nitaangalia uwezekano wa kumuona Dr kwa uhakikisho. Barikiwa mkuuNi maumbile akiendelea kukua utaona kawaida maana mwili utaongezea, uwiano na mwili utaendana vizuri.
Jamii Forum inatumiwa na watu wasomi mzee. Angalia hata cha ku comment ukiona huna better ukapita kushoto kwan sio kila kitu lazima ukishobokee km huna maslahi nacho. But Naheshimu mawazo ykoSukari ya warembo, kachunge Sana hako kadogo kataanza kubakwa mapema Sana na watu wazima.
Hakikisha unampata Dr ambaye ni mkongwe (experienced).Asante somehow umenitia moyo. Pia nitaangalia uwezekano wa kumuona Dr kwa uhakikisho. Barikiwa mkuu
Una uhakika jamii forum inatumiwa na watu wasomi?Jamii Forum inatumiwa na watu wasomi mzee. Angalia hata cha ku comment ukiona huna better ukapita kushoto kwan sio kila kitu lazima ukishobokee km huna maslahi nacho. But Naheshimu mawazo yko
Hacha kutokwa POVU la foma gold , kwani alichojibu kbaya ni kipi?Uzi uandike wewe afu utapangie cha kucoment??kwani ni kosa letu wewe kimrithisha mwanao ulemavu wa pumbu moja?..kuwa na adabu!Jamii Forum inatumiwa na watu wasomi mzee. Angalia hata cha ku comment ukiona huna better ukapita kushoto kwan sio kila kitu lazima ukishobokee km huna maslahi nacho. But Naheshimu mawazo yko
Thanks BossUna uhakika jamii forum inatumiwa na watu wasomi?
Humu tegemea mawazo mbadala siyo Kila mtu atoe maoni unayotaka wewe Hadi uone watoa maoni wengine hatujasoma.
Ungekuwa msomi hii mada usingeleta hapa, ungeenda kuona wasomi huko hospital.
Wekeza zaidi kujua njia aliyojia mtoto, uwezo wake (Kipawa chake) ukitunze na kukuendeleza usisubiri shule imkate mabawa. Ulicho jifunza kwenye maisha ukiwa na 20+ hakikisha anajua mapema. Mrithishe mifumo ya kiuchumi let him be a Big man. Fanya awe rafiki Yako mkubwa zaidi ya
Nukuu zilizojitosheleza Chief, pamoja sana.Wekeza zaidi kujua njia aliyojia mtoto, uwezo wake (Kipawa chake) ukitunze na kukuendeleza usisubiri shule imkate mabawa. Ulicho jifunza kwenye maisha ukiwa na 20+ hakikisha anajua mapema. Mrithishe mifumo ya kiuchumi let him be a Big man. Fanya awe rafiki Yako mkubwa zaidi ya wote.
Ok thanksInaweza ikawa ni "hydrocele" au "inguinal hernia", maneno yasikutishe sana yana maana mfuko wa pumbu upo wazi kwa upande wa ndani hivyo unajaa majimaji ya mwili (google kwa maelezo zaidi naona uvivu kuandika kirefu)...
Huwa ni kitu common kwa watoto na kinapotea baada ya muda, hata hivyo nakushauri ufike hospitali...