masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,380
- 19,273
hapo ndo mtihanimtoto kadri anavyozidi kukua mind yake inabadilika kuendana na mazingira.
so wewe kama mzazi unatakiwa kujua muda wa kushikilia na muda wa kuachia
YouTube ndonani tena love wajua nilivo kilaza kuelewa!!
A YouTuber is a content creator, video producer, and internet personality who makes, uploads, and shares videos on YouTube. They build personal channels to entertain, educate, or share information with global audiences.YouTube ndonani tena love wajua nilivo kilaza kuelewa!!
Naomba mwongozo pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz
Namtaka mwanangu. Umeenda kumpa baba mwingine. Amerithi akili za mimi baba yake.lile swali tunawaulizaga watoto unataka kuwa nani ukiwa mkubwa.
mi siwaulizagi haswa huyu mdogo ana 5yrs wa kike.
nawaachaga tu wa explore wenyewe. Sitaki kumlead mtoto in anyway i provide the best evironment for my kids as possible mengine ata decide mbele.
So huyu mtoto wa kike actually ni kama gifted ...namshukuru Mungu kwa hilo... in every aspect kwa kweli sio darasani tu...she is so talented.
So leo tunafanya homework bila kumuuliza akasema anataka kuwa Youtober(sijui ndo inaandikwa hivi)
nahitaji kumsuport mwanangu hata kwa baadae kidogo au kwa sasa
Nahitaji muongozo wa nini cha kuandaa kufanikisha hicho
kuhusu content anasema ataplay Minecraft (sijui ni game online)..
kaongea mengi mageni kwangu
japo mengine mengi namsikiaga akiongea on a daily basis
lakini pia, she is so money-oriented
Randomly anaweza akakuuliza mko barabarani gari likipita "hivi lile gari ni bei gani"? na pia ana kumbukumbu nzuri sana yaani namuombe Mungu tu wachawi wapite mbali.
so naomba mwenye muongozo aweke hapa
Sante sana kwa mwongozo lo.A YouTuber is a content creator, video producer, and internet personality who makes, uploads, and shares videos on YouTube. They build personal channels to entertain, educate, or share information with global audiences.