Mwanangu amekuja nyumbani na tatooo baada ya kutoka chuo

Kuna mahusiano ya Karibu sana kati ya;
1. Rastaman na Uvutaji bangi.
2. Wachorwa Tatoo na kubwia sembe.
3. Vipini vingi mwilini(matobo 4 kila sikio,kitovuni, puani,ulimi na ukeni) hawa wana undugu na ukahaba.
Nashauri sana mfanyieni vipimo Vya kubaini matumizi ya Dawa za kulevya
 
Huyu ni mtoto wa kaka angu ambaye pia ni mchungaji wa kanisa,binti alikuwa mstaarabu sana alipokuwa sekondari, mwaka Jana alijiunga na chuo cha Mistu kilichopo Arusha

Juzi akiwa nyumbani usiku wamelala na mdogo wake wa kike alivua nguo mdogo wake akaona amejichora tatoo juu ya titi la kushoto na mdogo wake akamwambia mama na mama akamwambia baba ikaleta tafrani kwenye familia

Jana usiku wadogo mtu tumeitwa kumhoji binti, binti hakusema chochote akabaki tu anabubujikwa na machozi na badala yake tumempa kazi mama yake amhoji kwa nini amefikia hatua ya kujichora tatoo kifuani yenye maandishi(I love you J)

Mabinti zetu vyuoni mnaenda kusoma au kufanya mambo ya ajabu ajabu ambayo yatawagharimu mbeleni

Jiulize asipoolewa na huyo J,siku anapata mchumba mwingne akamkuta na hayo machata kuna ndoa hapo kweli? Tena mtoto wa mchungaji aliyelelewa kwenye maadili

Kuna haja ya kutoa elimu ya kutosha kwa vijana wetu waendapo vyuo, vinginevyo tutavuna mabua
Kajala kachora michata ya wanaume kibao na akiachika leo, kesho anaolewa tena.
Huyo mtoto tayari J keshamzibua, Kama vipi, kuliko kusimanga simanga, nipasieni hilo toto la mchungaji, nihangaike nalo
 
Tukiwambia acheni watoto wasome kidato cha tano na cha sita hamtaki mnakimbilia chuo mnasahau kidato cha tano na cha sita kinamkuza kiakili na madili ni ngumu sana kukuta mwanafunzi aliyetoka form six akawa na mambo ya ajabu ajabu kama hawa wa certificate ma Diploma wasumbufu sana they never change, hawa wa kutoka form six ile first year tu ndio huwa inawazubaisha but wakiingia second year wengi huwa mature enough ila hawa wengine certificate fujo, Diploma fujo akifika first year sasa ndio fujo linazidi
 
Back
Top Bottom