Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 489
- 1,268
Huyu ni mtoto wa kaka angu ambaye pia ni mchungaji wa kanisa,binti alikuwa mstaarabu sana alipokuwa sekondari, mwaka Jana alijiunga na chuo cha Mistu kilichopo Arusha
Juzi akiwa nyumbani usiku wamelala na mdogo wake wa kike alivua nguo mdogo wake akaona amejichora tatoo juu ya titi la kushoto na mdogo wake akamwambia mama na mama akamwambia baba ikaleta tafrani kwenye familia
Jana usiku wadogo mtu tumeitwa kumhoji binti, binti hakusema chochote akabaki tu anabubujikwa na machozi na badala yake tumempa kazi mama yake amhoji kwa nini amefikia hatua ya kujichora tatoo kifuani yenye maandishi(I love you J)
Mabinti zetu vyuoni mnaenda kusoma au kufanya mambo ya ajabu ajabu ambayo yatawagharimu mbeleni
Jiulize asipoolewa na huyo J,siku anapata mchumba mwingne akamkuta na hayo machata kuna ndoa hapo kweli? Tena mtoto wa mchungaji aliyelelewa kwenye maadili
Kuna haja ya kutoa elimu ya kutosha kwa vijana wetu waendapo vyuo, vinginevyo tutavuna mabua
Updates
Baada ya mama mtu kuamua kumkalisha binti yake yaliyojiri ni kama ifuatavyo
Binti amekili kuchora tatoo kwenye mwili wake kama mdogo wake alivyoiona
Anasema amekuwa na mahusiano na J ambaye ni msanii chipukizi wa bongoflava ambaye anafanyia mziki Jiji la Arusha
Anakili kuwa siku moja rafiki zake wa kike walimtoa out club moja jijini Arusha na hao wasanii walikuwa stejini wakitoa show
Huyo J alikuwa stejini akamuomba wacheze naye stejini baadae akabadilishana na namba za simu na mahusiano yakaanzia hapo na huyo J alimtaka achore tatoo hiyo ili awe na yeye tu ili asiweze kutoka na mwanaume mwingine
Anakili tangu ajiunge na hicho chuo hakuwahi kwenda kusali na misaafu aliyopewa na baba yake alitupa kwenye pipa la takataka la mitaani usiku
Anakili huyo J kutaka kumfundisha kunywa pombe na kutumia madawa ya kulevya
Ameomba msamaha kwa wazazi,ndugu na washirika wa kanisa lao
Yupo tayari kupima magonjwa yote
NB wazazi tuwe makini sana