Dark es Salaam
Member
- Aug 22, 2011
- 14
- 10
Guardian wameandika "state house rubbishes Wikileaks allegations" na Mtanzania "ikulu yakanusha taarifa za Wikileaks", na ni ndio majibu yaliyotolewa na Ikulu, sijaelewa ulitaka waandikaje... wapuuze kauli ya ikulu na kushikilia kwamba Wikileaks wamemtuhumu Rais bila kutoa current status au? na ofcourse ukisoma hizo habari ndani lazima ukutane na tuhuma zilizoelekezwa kwa RaisMagazeti "huru" ya kila siku, ikiwemo Mwananchi, Nipashe, Guardian, Mtanzania leo yamepuuzia habari ya Wikileaks kuhusu tuhuma za Rais Kikwete kupewa rushwa na mfanyabiashara wa Dubai anayemiliki hoteli za Kilimanjaro.
Je, huu ni uzalendo? Self sensorship, kutishwa wasiendike au kujipendekeza kwa Rais kulikofanywa na wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari hivi? Tutafakari...
1. MWANANCHI
Mhariri Mkuu: Theophil Makunga, Mmiliki: Aga Khan (Nation Media Group)
2. NIPASHE/GUARDIAN
Mhariri Mkuu: Jesse Kwayu/Wallace Mauggo, Mmiliki: Reginald Mengi (IPP)
3. MTANZANIA
Mhariri Mkuu: Deodatus Balile, Mmiliki: Rostam Aziz (Caspian)
* Siku ambayo tuhuma za Wikileaks zimeibuka, Rais akatoa hotuba kukemea RUSHWA kwenye sekta ya ujenzi. Sura yake ilionesha kumsuta.

Magazeti "huru"
Guardian wameandika "state house rubbishes Wikileaks allegations" na Mtanzania "ikulu yakanusha taarifa za Wikileaks", na ni ndio majibu yaliyotolewa na Ikulu, sijaelewa ulitaka waandikaje... wapuuze kauli ya ikulu na kushikilia kwamba Wikileaks wamemtuhumu Rais bila kutoa current status au? na ofcourse ukisoma hizo habari ndani lazima ukutane na tuhuma zilizoelekezwa kwa Rais
umeanza vizuri lakini mstari wa mwisho umetibua hoja nzima..
sijui kuhusu mwananchi lakini mtanzania na nipashe wamiliki wake wote wana kadi hai za ccm
kipindi cha dakika 45 cha itv ni kama jukwaa la propaganda la ccm
subiri kesho mwanahalisi watakavyomchana prezidaa na maushahidi kibao
hivi kila tunachokitaka wana jf lazima kiandikwe kwenye magazeti? Mimi niwe wazi kwenye hili, wikileaks sio ya kuientertain. Binafsi siishobokei kabisa
umeanza vizuri lakini mstari wa mwisho umetibua hoja nzima..
sijui kuhusu mwananchi lakini mtanzania na nipashe wamiliki wake wote wana kadi hai za ccm
kipindi cha dakika 45 cha itv ni kama jukwaa la propaganda la ccm
subiri kesho mwanahalisi watakavyomchana prezidaa na maushahidi kibao
Mkuu nakubaliana na wewe kidogo mwishoni mwa mchango wako ila sikubaliani mwanzoni mwake. Kaa ukijua wengine tuna uzoefu mkubwa wa kusome body language ambayo kwa kifupi huchukua miaka mitatu kuielewa vizuri. Nitakupa kipande kimoja tu na ukiwa mfuatiliaji sana wa mambo utagundua ni nani pia aliwahi kurudia somo hili. Ona kaka; mtu unapomuuliza swali huku umemkazia macho na akakujibu huku kaangalia juu kushoto kidogo huku kichwa chake kikinyenyuka kidogo kidogo, juwa huyo anakudanganya kwa sababu anakuwa anafanya kitu tunaita 'rapid creativity kwa kutimia ubongo wa mbele sehemu ya creation ambayo kimsingi iko kushoto. Huyohuyo akikujibu hali amekukazia macho na sauti yake ikaendana na yako na mikono yake ikiwa kwenye original state tangu umuulize swali huyo anasema kweli, na yule pia anayekukazia macho na kutimia miguu ama mikono kuificha slight shaking huyo anakuficha jambo na jua kabisa anasoma reference centre kwenye ubongo wake na anahusisha pia creativity kubadili ukweli. Sasa kwa hayo kidogo tu kaka napenda kuhitimisha kwa kukuambia hili pia, mtu anapotabasamu wakati akieleza suala zito, huyo hana uwezo wa kulisema hilo na mara nyingi huwa analazimisha kukumbuka alichoambiwa kusema sasa kucheka mara nyingi hu refresh reference centre kwa sababu si zaidi ya misuli saba inayokuwa inafanya kazi kichwani hii ni zaidi na kuwa siliazi ambapo mtu hutumia zaidi ya misuli 32 kichwani hii ikikanisha hutumia karibu 50% ya capacity ya cerebllum yaani ubongo wa mbele hasa sehemu ya speech, wisdom, positive imagination (kama ya Martin Luther King Jr), na kadhalika. JK ni kweli akitoa hotuba hiyo alikuwa anafikiria sana kushushuliwa.
Mheshimiwa napenda kutoa hoja.
Between line.Mkuu,
Salva anapaswa ajue kuwa yeye si msemaji wa Kikwete bali yeye ni msemaji wa Rais Kikwete. halipwi mshahara na Kikwete analipwa Mshahara na watanzania kwa kazi hiyo..
mkuu hutaki habari motomoto? unataka zile zilizochujwa na ccm? Huoni habari za wikileaks zilivyowaumbua hata wabwana wakubwa USA? We ni mtu waaina gani ambaye huwezi kwendana hata na mazingira?hivi kila tunachokitaka wana jf lazima kiandikwe kwenye magazeti? Mimi niwe wazi kwenye hili, wikileaks sio ya kuientertain. Binafsi siishobokei kabisa

Between line.

Good observation.

Some issues can go unnoticed unajua ukiweka kujumlaujumla.
......subiri kesho mwanahalisi watakavyomchana prezidaa na maushahidi kibao