Mwananchi, Nipashe, Guardian, Mtanzania wazima habari ya Wikileaks!


K

KAPONGO

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
1,408
Likes
205
Points
160
K

KAPONGO

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
1,408 205 160
magazeti yalipaswa kwanza kuandika habari ya weakleaks kisha kufuatilia majibu ya ikulu. kuanza na kutoa majibu kabla ya kutoa kilichojibiwa si uhadishi bora wa habari. inaonesha wazi mmesha-take sides. ni aibu kwa magazeti yetu hususan katika zama hizi ambazo watu wengi wanaweza kupata habari kwa njia nyingi tofauti. kama haikuwa habari yenye uzito, ikulu isingelazimika kuijibu! aibu kwenu wahariri na wamiliki! huu woga sijui utatufikisha wapi. na kama ni kumbeba asiyebebeka, mtazama nae!
trash!! Kasomee uandishi ujue story zinavyoandikwa si kurukia rukia taaluma usiyoijua..
 

Forum statistics

Threads 1,235,137
Members 474,353
Posts 29,212,944