adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,896
- 5,259
Kuna uzi uliletwa na mdau m1 kutoka Bukoba akieleza kuwa alipata gazeti la mwanaspoti la siku ya jumamosi alfajiri tofauti na kawaida kupata gazeti mida mibovu. Akajaribu kujiuliza mwananchi comm wameweza vipi kulifikisha gazeti mapema mno kuliko makampuni mengine.
Uchunguzi wangu nmebaini mwananchi wameanza kuchapa gazeti zao nchini uganda na kuzisambaza kanda yote ya ziwa lengo ni kupunguza gharama pamoja na kuwahi soko. Hii hufanyika siku za jumamosi na jumanne.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums