Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,033
- 9,923
Na wewe ukilia huwa unapigwa miti muda huo?Mna uhakika hiko kilio alichotoa sio kwakuwa alikuwa anapigwa miti muda huo?
Njaa huleta unafiki..Katika mjadala unaoendelea Clubhouse, mwananchi mmoja aliyetambulika kwa jina la Edna ameshaindwa kuuliza swali baada ya kushikwa na kilio kabla ya kuuliza swali lake kwa wazungumzaji
Kwa sauti ya kulia Edna amesema "Msigwa mwambie dada, Rais Samia afute huo mkataba, sisi hatuutaki"
Msigwa, msemaji mkuu wa serikali ambaye ni muongoza mjadala huo amemwambia Edna asiharibu mjadala, kama hana swali awape fursa wengine waulize
Habari Maelezo, inaongoza mjadala wa kuhusu bandari huko Clubhouse ambapo wananchi wanapewa fursa ya kuuliza maswali na kupewa ufafanuzi na state actors
Mjadala unaendelea, maswali na majibu now... huyo dada alisema neno moja tu kwa sauti ya kilio "Msigwa, mwambie dada Rais Samia afute huo mkataba, sisi hatuutaki"Mjadala ulikuwaje
Aisifuye mvuaNa wewe ukilia huwa unapigwa miti muda huo?
Wapo ,tatizo ni kunyea debe angepigwa siku nyingi sanahakuna.jasiri Wa.kumzaba.vibao msigwa hapo
Mama Samia kabaki mwenyewe tu katika mkataba huu. Hali ni mbaya sana tena sana. Mbarawa hana amani kabisa. Bogus mkataba huu kila msomi analia. Mama kabaki na Baba Levo na Mauldi Kitenge na yule kuwadi Stev Nyerere.
Anajua fika DPW wakija mumewe ambaye ni kibopa pale bandarini, kibarua kitaota nyasiKwanini alie sasa