Mwanamuziki wa FM Academia afariki dunia.

Mwanamuziki wa FM Academia afariki dunia.

kimpe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
911
Reaction score
862
Mwanamuziki wa F.M Academia aitwae Digital amefariki dunia katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa. Mwanamuziki huyo mwanzo alilazwa hospitali ya Mwananyamala na baadae alipewa rufaa kwenda Muhimbili ambapo mauti yalimkuta. Rest In Peace Digital. Poleni Wazee wa Ngwasuma
. -2.jpg
 
Yeah na mm nimesikia apa sasa hivi

RiP poleni wana FM academia
 
Poleni sana wazee wa mujini!!!!!

Patchou Mwamba aliimba na kutaja wengi juu ya kifo hope jukwaani tutakukumbuka kwa kile kipande!!!!

Pumzika Digital, mwambie Gabi Katanga tunamiss drumming yake!!!!
 
Mungu ailaze roho ya marehemu panapostahili...Amen.
 
Hrvi kujichubua kwa hawa wakongo kunaendana0na musiki? Mbona koffie/Werason na wengineo hawajichubui ngozi? Au washabiki wao wa kibongo wanawapenda wanapojichubua?poleni FM.,
 
Hrvi kujichubua kwa hawa wakongo kunaendana0na musiki? Mbona koffie/Werason na wengineo hawajichubui ngozi? Au washabiki wao wa kibongo wanawapenda wanapojichubua?poleni FM.,
Muangalie vizuri koffi olomode halafu uone kama hajichubui

Sent from my iPad
 
Back
Top Bottom