bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,734
- 10,345
Ni kwa masikitiko makubwa kwa wana tasnia wa miziki ya Kongo, mwanamuziki REGIS TOUBA hatunae tena, amefariki mapema leo akiwa kwa Congo Brazzavile.
Atakumbukwa kama sehemu ya Muasisi wa kundi la EXTRA MUSICA
Ameshiriki katika kutunga nyimbo zenye mafanikio akiwa katika kundi hili, na alifahamika zaidi kama kipenzi cha warembo na "Best Dancer" wa kundi hili
Alitoa hit song kadhaa kama "Ambiance chocolate" akiwa na kundi la Extra Musica ZI Internataional
Bwana Ametoa, na Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe🙏🙏🙏