Mwanamuziki George Michael (53) amefariki dunia

IMO this is the best song from the late George Michael...RIP and thanks for the memories.

 
Reactions: kui
Mkuu, Merry Xmas...

Wanamuziki maarufu walotangulia mbele ya haki kwa mwaka 2016



David Bowie alifariki akiwa na miaka 67 mwezi Januari 2016 (picha na Press Association)


Prince alifariki terehe 21 April Mwaka 2016 (picha na Associate Press)..


Merry Xmas to you too!

What a year.
 
Huyu mbona shoga kitambo tu!sijui wanawazaga nini hawa mpaka kufikia hatua ya kushughulikiwa!!
Ushoga ndio condition mojawapo ya kuwa tajiri na maarufu.
Ndio njia wanayopitia wanamusic wengi na wangineyo na ndio maana napata kugugumizi kuyafagilia mafanikio ya wanamusic na wengineo kwa sababu mwisho wao ndio huo ushoga.
 
Last Christmas

Careless Whispher

I knew You Were Waiting ft. Aretha Franklin

Wake Me Up Before You Go

RIP Michael...A troubled soul
 
RIP kwakweli Careless whisper ilifunika kila kona mpaka kwenye maaautograph tehe tehe enzi hizooo
 
hivi patner wake Elton John anaitwa nani vile?nahisi kama ndio huyu?Msaada kujua kama nachanganya mambo hapa pls
 
C kuna kipindi alihusishwa na ushoga huyu au siyo yeye? Tena nakumbuka alijitangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…