Mkuu unafanyaga utafiti kwny movie?!Hii kitu ni kweli aiseeeee...Tafuta Movie inaitwa Hall Pass (2011) utajua ukweli wa mambo..
Mkuu unafanyaga utafiti kwny movie?!
Ole wako!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Uwe tu mvumilivu mkwe, kitapita tu.Acha nipite kimya kimya hiki kipind cha mpito kigumu sana
ha ha ha ha kwel ngamia kukatsha tundu la sindano ni rahis kuliko mie na haya majarbu acha tuone mwisho wakeUwe tu mvumilivu mkwe, kitapita tu.
Ni rahisi sanaa mkwe, kuwa tu mvumilivu.ha ha ha ha kwel ngamia kukatsha tundu la sindano ni rahis kuliko mie na haya majarbu acha tuone mwisho wake
Acha mkwara wewe.....Ole wako!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
So ukichepuka huko mbelen utaishiwa nguvu????????Maskin ndio nyie nyie mnakuja hangaikia madawa ya nguvu za kiume mbelen pole
So ukichepuka huko mbelen utaishiwa nguvu????????