Mwanamume Malaya - Je ungekuwa wewe ungefanyaje?

its very funny.....
kwamba mwanaume hana kazi na bado amewpiga mimba
wanawake wawili......

this guy is my hero....
kwa jinsi ilivyo ngumu kupata mwanamke
wa kukujali ukiwa huna kazi.
he is stupid yes,but he is impressive also.

Huwa unanifurahisha sana uanapotoa maoni yako kwa kuangalia mbali zaidi. Hao wanawake wanaopenda wanaume wasiokuwa na kazi bado wapo kweli hapa mjini?
 
Nimekuwa kwenye relationship ya up and down na nimeteswa kinoma. Tumezaa mtoto na huyu mwanamume lakini alivyosikia mi mja mzito akaanza kuwatongoza wanawake wengine na nikasikia anafunga ndoa. Dunia ajabu, familia ya yule dada walipata ukweli na wakamkataa. Baadaye akaanza kurudi kwangu lakini hata hamjali mtoto, hana kazi na nilikuwa namsaidia kwa kile kidogo ninachopata na ukumbuke kulea nahangaika mwenywe na ndugu zangu.

Sasa cha ajabu ni umalaya wake ambao hauna mpaka - yaani hana aibu. Sasa hivi bila aibu kaanza kutoka na dada nafanya naye kazi na kashampa uja uzito! Nimechanganyikiwa lakini wadau what would u do if you were me? Udhaifu wangu na kila siku najuta ni wema wangu - na hata mama aliniambia una roho nzuri lakini walimwengu wabaya kuwa makini.

My baby girl is wonderful and so special... na huwa nauliza why do good people suffer so?


Pole sana ndio mapenzi hayo na kukuwa pia!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom