Mwanamume kumuachisha kazi mukewe!!!!

Mwanamume kumuachisha kazi mukewe!!!!

Zahra White

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
598
Reaction score
576
helo kumbe yule muke mwenzangu angekuwa mboss mkubwa tu TPA mume alivomuoa.
Akamuachisha kazi.
Wanaume kwa nini mnawaachisha wake zenu kazi?
Na wewe mudada kwa nini mume akuachishe kazi?
Wadada msikubali muwachishwe kazi.
Mie tokea nifahamu kuwa aliachiswa kazi namuhurumia na ninampenda mke mwenzangu.
Ile tabia ya kumfungia mume wake nimeacha.
 
Kweli niko tayari kwa lolote ila si kuacha kazi, labda niamue tu kwa kupenda kwangu kwamba sasa kazi basi..! kuhangaika wahangaike wazazi wangu alafu mtu aje tu from no where aniachishe kazi pasipo sababu ya msingi kisa amenioa??? hapa tutatafutana ubaya bureeee
 
thats gud.
Pia akikuachisha hakuhudumiyi anatujali sisi munyumba ndogo.
Nimekasirika muno
 
Sasa na wewe kwanini humkumbushi kuhudu ia nyumba kubwa?unajua kabisa huduma zote analeta kwako why usimwambie bebii hapana hii mpelekee mkeo?
 
Kweli niko tayari kwa lolote ila si kuacha kazi, labda niamue tu kwa kupenda kwangu kwamba sasa kazi basi..! kuhangaika wahangaike wazazi wangu alafu mtu aje tu from no where aniachishe kazi pasipo sababu ya msingi kisa amenioa??? hapa tutatafutana ubaya bureeee

Mrembo, hapo pa red! Siyo kweli kuwa ni "from no where", huyo ni mume kwa hiyo unajua anakotokea labda na sababu za kukuachisha kazi. Kama unafanya kazi na hela zako hazisaidii "mwili mmoja" basi ukae unipikie ugali maana ndio kuoa!
 
Zahra bwana, akitulia vizuri anakumbuka lugha ya kunyumba.....

Anyways, maisha ya sasa unamuambiaje mkeo aache kazi? Mtasaidianaje kusongesha maisha? Nikiacha kazi si ndo hata bi mkubwa havai tena kitenge?!
 
Maisha ya kuachishana kazi yalikuwa enzi hizo
na huyo mwanaume anaekuachisha kazi hana akili mukichwa
maisha yenyewe mafupi akifa leo au kesho unastrive vipi.............
 
helo kumbe yule muke mwenzangu angekuwa mboss mkubwa tu TPA mume alivomuoa.
Akamuachisha kazi.
Wanaume kwa nini mnawaachisha wake zenu kazi?
Na wewe mudada kwa nini mume akuachishe kazi?
Wadada msikubali muwachishwe kazi.
Mie tokea nifahamu kuwa aliachiswa kazi namuhurumia na ninampenda mke mwenzangu.
Ile tabia ya kumfungia mume wake nimeacha.
Labda uwe na hoja ya kwamba hakuhudumii.. lakini kama unapata huduma zaidi ya kama ungeenda kazini ya nini kujihangaisha, unaishi vizuri, unarasilimali za kutosha, wazee wako wanaishi kama wako peponi, wataka nini tena..??
Ukiona mtu anamzuia mkewe kwenda kazini basi kuna sababu, kwakweli yafanyikayo kazini tunayajua, basi tu umasikini lakini hata mimi kama nina uwezo wa kutosha mke wangu haendi kazini.. Hapo nyumbani penyewe ni kazini, kwanini ajizeeshe, kuungua na jua na mavumbi, na kula vichipsi kuku kila siku. Hali mlo wa maana labda wikiendi.....
 
Maisha ya kuachishana kazi yalikuwa enzi hizo
na huyo mwanaume anaekuachisha kazi hana akili mukichwa
maisha yenyewe mafupi akifa leo au kesho unastrive vipi.............
Mkuu leo unanigeuka hivyo..!!!
 
Akikubali kunipa pesa sawa na mshahara wangu kila mwisho wa mwezi na marupurupu huenda nikamfikiria.
Ila kama hataki ajue kbs kuwa akina Kimbweka watamsaidia kunilea na kunitunza hapa mjini.
 
Last edited by a moderator:
maisha kusaidiana.
Uwezo ndio tatizo dadangu.. pia wanawake wenyewe siku hizi hawapendi kukaa nyumbani hata kama kila kitu kipo, sijui wanakosa umbea huko maofisini....
Ila mimi binafsi sipendi mke wangu afanye kazi, uwezo tu ndio unaotusumbua, inakuweje ikifika jioni kila mmoja wenu amechoka, kila mmoja akifika kwenye eneo la tokeo anampa mwenzie mgongo "don tach mi" haya ni majanga...
 
wanawake wanaokaa majumbani ndo wambea
 
duh kumbe wanaume wengi hawapendi wake zao wafanye kazi
 
helo kumbe yule muke mwenzangu angekuwa mboss mkubwa tu TPA mume alivomuoa.
Akamuachisha kazi.
Wanaume kwa nini mnawaachisha wake zenu kazi?
Na wewe mudada kwa nini mume akuachishe kazi?
Wadada msikubali muwachishwe kazi.
Mie tokea nifahamu kuwa aliachiswa kazi namuhurumia na ninampenda mke mwenzangu.
Ile tabia ya kumfungia mume wake nimeacha.

Sasa Zahra White kwanini na wewe hukumwambia jamaa asimwachishe kazi mke wake? Ona sasa ametelekeza nyumba kubwa lakini na wewe nyumba ndogo matumizi yamepungua! Afadhali Mrembo by Nature yeye haachi kazi ng'o!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom