Mwanamme mmoja apata kichapo kizuri

unajua kosa lake utatetea na ugaidi binadamu mbaya sana mwache aseme kweli
 
do wamepigwa sana ningekufa hapo hapo.. ilahuyo mwanajeshi aliyekuwa analamba lamba lips wakati wenzio wanapiga kazi alikuwa na maana gani?
 
wanajeshi ni kama animals. Huwezi ukamfanyia hivyo binadamu mwenzako. Adhabu zao ni za kipuuzi sana. Wanaishi kama maadui wa wananchi wakati walipaswa kuwa marafiki wa wananchi.
 
do wamepigwa sana ningekufa hapo hapo.. ilahuyo mwanajeshi aliyekuwa analamba lamba lips wakati wenzio wanapiga kazi alikuwa na maana gani?
huyo jamaa dumb sana wenzake watammind maana kaisha wachomea.
 
Huyo jamaa anayepigwa naye ni mgumu kinoma.
 
Hi wanafanya guess work. Inaonekana hawana Info. Wanataka mtu aongee tu. Na hata hivyo hata kama anaweza kuongea, information sensitive huwezi kuihitaji namna hii. Lazima mtuhumiwa apewa secrecy ya kutoa siri. Inawezekana kabisa katika hao wanajeshi mmoja ni informer.

Very uncivilized. Very unprofessional.
 
wanajeshi ni kama animals. Huwezi ukamfanyia hivyo binadamu mwenzako. Adhabu zao ni za kipuuzi sana. Wanaishi kama maadui wa wananchi wakati walipaswa kuwa marafiki wa wananchi.
Ukiumiza mmoja kulinda mamilioni ni ushujaaa na judgemnt nzuri
 
kwa mfano huyo waliomtangwa ngumi walilinda nini?
Hiyo ni torturing, information moja ndogo unaweza kukulead kupata lead ya vitu vikubwa vitavyo imarisha ulinzi na kulinda kaisha ya wengi..
 
Jamaa mwenyewe nae sjui katokea quba. kakaza kinoma noma.
 
Hawa jamaa wanahuruma sana wangekuwa ....hapo angeisoma namba
 
Safi sana kazi ya mjinga ni kunyarika tu! Ila adhabu yenyew ya kitoto iyo Yaan viboko tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…