Ni wakawake wachache wenye akili kama ya kwako maana wengi hufikiri wanaume ni ATM au vyovyote vile. Kiukweli umetisha sana katika comment yako.
salama tuu. vipi wewe? naona umenitupa kabisaaaaa
Hata ukimpata mwanamke mchakarikaji bado inabaki kumuhudumia ni wajibu wa mwanaume
Labda hii inawork kwenu maponjoro, ila kwa mswahili kama mie nitaenjoy zaidi kama mume/mchumba/bwana aknihudumia kwa vitu vidogovidogo wala asitumie pesa nyingi. Just vocha, naulinauli hivi, anisaidie nimeintain uzuri & utamu wangu :frusty:
unadhani hata wadogo kiumri, ni wasomi wazuri tu waliofaulu na GPA>4.5, lakini ndo hivyo,wamekaa kibiashara ashara tu, yaani utakuta mtu anadharirishwa na mwanaume kisa tu huwa anahongwa hela, ninao mashosti wawili hapa ofisini yaani hata sielewi kwa kweli, maongezi yao 24/7 ni kuchuna, umbea nk, basi utakuta mtu anabadilisha mabwana kisa anataka kuhongwa, sijui ndo wanaita kujaliwa.
Hebu muulize siku ya kwanza kuvua chupi alipewa hela au alikuwa ameshapewa vihela hela ndo akavua, maana kama uliamua kumuvulia chupi mwanaume hata hujakula hela yake yoyote usitegemee baadae atakupa hela, tayari atakuchukulia kiurahsi sana. Sawa hauuzi lakini anatakiwa akujali maana kama hata nauli hakupi kwanza kwanini asikupeleke na gari yake mpaka kwako, huyo atakuwa mme wa mtu anakutumia kama chombo cha starehe kwa taarifa yako anampenda na kumuheshimu mke wake hataki mke wake ajue anacheat. kuna mapenzi ambayo huwa ni just for fun hayana future yaani mnafanya kama sehemu ya mazoezi ili kuchangamsha mwili na kuondoa stress za maisha ndo unatakiwa umchukulie hivyo huyo sio mpenzi wako, inawezekana hata kuwasiliana mnawasiliana siku anataka k yako baada ya hapo no communication
Wala hatakuwa mchoyo...!!!
Hakika sitapata cancer kwa kutosafisha kwa siku mbli au tatu , nataka nimpe karaha aone radha ya uchafu na kibuti juu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Rafiki yangu anaomba ushauri.
Ni msichana wa miaka 28 mzuri wa tabia, ana mvuto, wife material, mrembo, mchakarikaji wa maisha. Ana mchumba wake wa miaka miwili sasa. Mchumba huyo hamjali binti kwa lolote i mean Saloon, sio vocha, nguo wala hajawahi kumnunulia hata zawadi yoyote zaidi ya kumpa mapenzi tu. Yaani pesa ya jamaa haitoki mpaka siku akitaka 'K' tu! Siku hiyo jamaa yuko tayari kulipia hotel na chakula kisha huyooo hata nauli ya kumrudisha binti nyumbani anajitegemea. pia anasema mwanamme ana pesa na ni mfanyabiashara mkubwa tu. Shostito anamshangaa jamaa anamwambia anataka kumuoa na ana wivu wa kupindukia, na hataki ampe mtu yeyote 'K' anayoigegeda yeye. Shoga anaomba ushauri afanyeje? je wanaume wote wako hivo?
huko ni kulea ujinga .......,,,,, lol!!! hata nauli hatoi mbona anakutumia vibaya sana huyo???
kimbia hakufai na hawa matajiri inabidi kuwa makini sana smtms wanatumia nyota zetu kwa staili kama hiyo ye anatajirika we uko pale pale!!!!
Huyo mwanamke anataka hela ya nini ilhali kwa sifa ulizotaja hatakiwi kuwa tegemezi?
Hela ya sabuni, hela ya saluni: inamuhusu vp mwanaume? Kwani wakati wa 'mgegedo' si mna-injoi wote? Mwanaume keshajitolea ku-foot gharama za 'kiingilio uwanjani' bado binti analalamika? Mbona mw anaume hadai hela ya nauli,mafuta kwenye gari,sabuni n.k? Na dont mistake 'usimpe mtu mwingine hiyo papuchi' lengo ni kuepuka magonjwa na uchafu si vinginevyo.
Grow up girls! Hyo style town inaitwa 'enjoy at your own cost' kama hutaki unaacha! Mnakera sana,unakuta binti 'hausin' kali ila 'papuchi + kiwango uwanjani' bure,the best she can do is 'sucking'. Why waste a shilling on you? Get lost!
Pamoja sana best..karibu tena TANGA
Anaweza hata aseme kwanini akuhudumie kama kugegedana starehe si mnapata wote...Jasho lote analolitoa pale kukufikisha loh salaleh :behindsofa:wasn´t me!!!