Sifanyi kazi hiyo kabisaaaa.....yakuendekeza mtu bahili halafu hotel chumba laki na kuendelea analipa kwenda kunipasua.
Labda pesa yake ya majini maana lol!!!!!
huko ni kulea ujinga .......,,,,, lol!!! hata nauli hatoi mbona anakutumia vibaya sana huyo???
kimbia hakufai na hawa matajiri inabidi kuwa makini sana smtms wanatumia nyota zetu kwa staili kama hiyo ye anatajirika we uko pale pale!!!!
Hivi kumbe huko hotel/guest mwanaume anamtumia mwanamke e!
^^
Ni biashara?
^^
^^
Ya ki Mama Huruma au
^^
Goods n services......nnaongelea hapa ni huduma!!!kama unavyitumia sim yko ni huduma sasa salio likikata utalaumu mtoa huduma au mfuko wako???au ndo mnataka kuonewa huruma mpaka kwenye huduma za watu?????
ndo ukweli huo!!! sa kama anampenda na hamtumii si ampe hata ya sabuni aoshe papucci...
^^
Ukipewa pesa nyingi sana..hutatoa huduma I mean utafunga ofisi?
^^