Mwanamke wangu anaolewa

I feel you rafiki .
Pole rafiki madaktari daima hupitia magumu sana ambayo jamii haiwezi kuelewa hata kidogo ila jua utampata mwingine

Jitahidi usiharhirike kisaikolojia

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Oya mwanangu soma sana tafuta kazi ufanye kazi pisi zimejaa kibao dar Hii ukishindwa kaoe kijijini kwenu rules is simple"

*Tafuta mwanamke Hapa mjini unapokaa uoe

*Waambie wazazi Wako dada zako wakitafutia mchumba uoe

*Nenda kaoe kijiji kwenu uko
 
Watoto wa 2000 wanaanza mapema sana, wakijafika 25 ni waandamizi kabisa🤣
Kwa kweli hicho cheo Cha waandamizi kinawafaa sana, maana dah Hana habari! yaani huyu ndio wale wanaosema "nikaachwa kama nimeacha"🤣🤣
 
Bado mdogo sana kijana tuliza mshono ukue kwanza upate akili sawa dogo
 
Mdogo wangu at 23 bado mdogo sana una safari ndefu sana
It's hurt kweli lakin usiumie sana nothing last long wewe investment ya miezi sita inakuumiza hivyo wenzako wamesomesha mpaka chuo kabisa na sakatoka kapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kazana kusoma usije pata sup
 
Pole Sana bro

Tunashukuru umejiamini na kuleta mrejesho pongezi Sana[emoji122]

Last time nilizungumza na kukusisitiza jipe muda kumsoma huyu dada anakuficha ficha baadhi ya mamboz ....ila yote heri shukuru Mungu halikuwa fungu lako
amina mkuu nashukuru
 
Shukrani Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…