Mwanamke wangu anaolewa

Tarehe 21 sio mbali bwamdgo hutakiwi kukosa vyote we nenda kapige mpunga
 
Ndio maisha mdogo wangu.
Teana kwa dar hii, hilo usiliogope mabinti wa umri huo wanafosiwa sana kuolewa na akiingia ktu mkenge anatupiwa mzigo. Don’t worry life is a practice not a rehearsal.
Endelea kucheka , enjoy, mabinti ni wengi, kama wenzangu walivyotangulia kusema.
 
Miezi 6 tu totoo ya kudate unaachwa unamjazia mtu kigunia cha sms??

Mngefika miaka miwili? Si uongeomba press conference uiambie nchi nzima?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Toa ushauri acha michambo we Khadija Kopa[emoji23]
 
Pole Sana bro

Tunashukuru umejiamini na kuleta mrejesho pongezi Sana👏

Last time nilizungumza na kukusisitiza jipe muda kumsoma huyu dada anakuficha ficha baadhi ya mamboz ....ila yote heri shukuru Mungu halikuwa fungu lako
 
Anakuwaje mwanamke wako bila kumuoa?. Kama hauko tayari, kaa pembeni walio tayari kuoa waoe binti akaenjoy maisha kuja kulialia hapa haitakusaidia.
 
Wewe bado maisha hujayajua,, nafikiri ukue kwanza nyie madogo wa 2000's kichwani n sifuri kabisa ,,

Tafuta maisha achana na upuuzi huu

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nilichokupendea una umri mdogo ila inaonyesha umeshakuwa gumegume,maana uandishi wako hata hauonyeshi kama imekuuma😅😅
Watoto wa 2000 wanaanza mapema sana, wakijafika 25 ni waandamizi kabisa🤣
 
so amekuchezea then akakutema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…