Sasa unataka ushauri wa nini hapa braza......?Jaman naombeni ushauli mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi
Mkuu huwa inapendeza ikisema mke wangu badala mwanamke wangu.Jaman naombeni ushauli mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi