Kama ni wa shoka basi nipe namba yake aje kunichanjia kuni hapa nyumbanj kwangu
Hahahaa! Ngumi nje njeKumuoa huyo watafuta majanga [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28]
Hahahaaaa!Yaani ni kurushwa kichura na kupigishwa push ups daily ..... na ukileta ubishi papuchi utaisikiaga tu kwamba ipo [emoji28] [emoji28] [emoji28]