Mwanamke wa makelele mi sioi

kb52 mbona unajificha sana na hii id si ungekuja na id yako?
 
Last edited by a moderator:
kb52 mbona unajificha sana na hii id si ungekuja na id yako?
....aah, na wewe! aje na id yake so what?!! wewe unachotaka ni id au ni hoja, angalia hoja achana na mtu. cha msingi hapa ni kwamba wanawake wenye udhaifu huo aliousema wajerekebishe. hata kama na yeye ana madhaifu haimaanishi basi hao wanawake nao wasijirekebishe..two wrongs do not make it right. kb52 tumekuelewa kaka. kuna wanawake wengi wana hii tabia na imekuwa ni tatizo kubwa kwao hao wanawake kwani huwa inawarudia kuwatesa wao wenyewe.
 
wanaume makosea wakati mnaanza mahusiano mnatakiwa muangalie kwanza hata ukimuuliza swali analijibu vipi?hapo ndo utajua huyo mwanamke ni vuvuzela ama siyo
 
makelele kila saa
 
Huna tofauti na huyo mwanamke. Tena yeye ana afadhali manake wewe ndiyo umekubuhu kwa kutoa siri za x wako kwenye mitandao ta kijamii. Shame on you silly boy!!!!
 
Kb52 pole mkuu kwa yaliyokupata. Humu jf kuna watu ni wanafiki sana Wa kujifanya wao wanajua kukosoa kila kitu. Lengo lilikuwa ni wewe kutoa somo, it's ok somo tumelipata na wenye kujifunza watajifunza na wasiotaka basi waache. Umewekewa hoja mezani jadili au kama hauna ushauri au nyongeza piga kimya, hayo ya kujidai we mtabiri wa kujua upande Wa pili ukoje si uje na story yako...eboooo!!! Mkuu humu jf usitegemee kutaka kumfurahisha kila mtu utaumia bure.
 
Huna tofauti na huyo mwanamke. Tena yeye ana afadhali manake wewe ndiyo umekubuhu kwa kutoa siri za x wako kwenye mitandao ta kijamii. Shame on you silly boy!!!!

Ha ha daah ningeshangaa kama nisinge kutana na comment kama hii.
 
 
Hii kitu ipo,upande wangu naishi na mwanamke wa sapuli hii.kiufupi hawaelewi,jambo limetokea miezi sita nyuma analishikia bango utadhani la leo,akikaa na watu stori ni hizo hizo yaani kwa kifupi inakera.ukisema umteme hujui utakayempata atakuwa wa type gani?this iz very kazi
 
Mimi nashindwa kuelewa mwanaume unamwambia siri zako hawara! Si bora hata ingekuwa mkeo wa ndoa
 
Kuna watu naona hawaja soma hii thread vzr....any way....wakinadada hili tatizolinaboa sana....wakati mwingine nasema labda wanawake wengi hawakui kiakili na kifikra....kuwa matured...

kweli mkuu umenena mleta mada kasema kweli wanawake weng wasumbufu sana hawana siri kununa na kupga mikele ovyo
 
Post ina karibu mwaka ndio unacomment leo? Si ukope voda, uwe unajiunga bundle!!!
Angalia tarehe ya hiyo post uliyoquote! Ni ya tarehe 14 August 2013.
Haina mbaya pia hii ni forum waweza kukomment utakavyo tu!
 
Angalia tarehe ya hiyo post uliyoquote! Ni ya tarehe 14 August 2013.
Haina mbaya pia hii ni forum waweza kukomment utakavyo tu!

Haya endelea na mawazo yako, ukidhani ndio ujanja. Hapa ngoma ni droo.
 
mi nikajua makelele wakt w 6×6 arrrgh! ningejua niisingepita hapa!
 
1.Afadhali kuishi na simba na nyoka

kuliko kuishi na mwanamke mwovu.

2.Uovu wa mwanamke humbadilisha sura,

uso wake ukawa kama uso wa dubu.

3.Kama vile ilivyo shida kwa miguu ya mzee kupanda mlima uliojaa mchanga,

ndivyo ilivyo kwa mume mpole kuishi na mke mwenye makelele.

4.Moyo wa huzuni, kukosa raha na kuvunjika moyo,

husababishwa na mke mwovu.

5.Dhambi ilianza kwa mwanamke
 
Kwani maneno yake yanakufanya Nini? Utakutana na Malaya ndo utajua afadhali maneno kuliko vitendo. Nakushauri umsamehe umwambie ajirekebishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…