Kwangu mimi mwanamke mzuri ni yule anayenipa 0713......
Kwangu mimi mwanamke wa kweli ni yule anayejitambua,
Anajua kubeba kilemba chake mwenyewe na kufikia hitaji chanya bila kusukumwa na mitazamo ya wengi.
Asojua kununa kila amuonapo mtoto . . . na badala yake humwonyesha ukarimu wa vitendo uloshamiri tabasamu la kweli toka rohoni!
Kwangu mwanamke wa kweli ni yule anayejua kudeka na kujinyong'onyesha mpaka nkakung'uta kila kilichomo kwenye wallet
Asigwaaaaaaa!!!!!!!! Yaani wanaume wote wangekuwa kama wewe, nadhani tungenenepa huku mjini!!!!!!! Hongeraaaaa! Imaraaaaaaa! Waaaaaaaaaaa!
Asigwaaaaaaa!!!!!!!! Yaani wanaume wote wangekuwa kama wewe, nadhani tungenenepa huku mjini!!!!!!! Hongeraaaaa! Imaraaaaaaa! Waaaaaaaaaaa!
That is why you are among my favourite.
Kikubwa mwanamke ajitambue na atambue majukumu yake, na sio wa kusukumwa na upepo au maoni ya watu ambayo hayako universal wala static. Juwa morals zako na wajibu wako, you are the best person sio mwanamke tu.
Kuna kifungu fulani cha biblia ambapo Mungu baada ya kukasirikia waisraeli alisema atatengeneza agano jipya ambalo amri zitaandikwa kwenye mioyo ya watu; hivyo huhitaji mtu mwingine kukuambia kuwa kumtukana mumeo ni vibaya au kuzini ni vibaya coz it is all written in your heart.
mwanamke wa kweli ni yule ambaye
1) anakubali kuwa mwaname ni kichwa cha familia
2) anajua kabisa kuwa yeye analinda hshima ya mumewe
3) looks pretty at all times
4) full maujanja kwenye game la kugegedan
5) mpishi mzuri
mwanamke wa kweli ni yule ambaye
1) anakubali kuwa mwaname ni kichwa cha familia
2) anajua kabisa kuwa yeye analinda hshima ya mumewe
3) looks pretty at all times
4) full maujanja kwenye game la kugegedan
5) mpishi mzuri
nyingine tena.....f**k....
mwanamke heshima yake inalindwa na nani?
Mwanamke wa kweli ni
mtii na heshima ( bt t depend on the c2ation)
mwaminifu
upendo & so so.
Bt mwanamke wa kweli ni yule anaemdunda mumewe badala ya kimada akimfumania mumewe. ( ni mtazamo 2 unaweza weka vgezo vyako)
Je wewe ni mwanamke wa kweli?