Mwanamke wa kuoa

Mwanamke wa kuoa

Gee23

Member
Joined
Mar 25, 2023
Posts
30
Reaction score
42
Mwanaume wa miaka 37 anahitaji mwanamke daktari wa wanadamu, au mwalimu wa kuoa. Awe na sifa zifuatazo:
1. Daktari wa wanadamu aliyehitimu au aliye na kazi
2. Mwalimu wa msingi au sekondari aliyehitimu au aliyepo kazin tayari
3. Asiwe na mtoto au ikitokea anaye, basi mmoja wa kike lkn wa umri mdogo
4. Mwisho awe mcha Mungu!
Kwa walio serious tu, karibuni.
 
Back
Top Bottom