The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
Mmmmh....
We ni mbobndei wa muheza?
Mmmmh....
Sio vyema kuhukumu kabila kwa
kosa la watu wachache, mimi ninacho shauri kama wamependana acha
waoane. Kuwa mdigo, mzigua, mbondei, msambaa, mshombe, mhandeni
haijalishi.
na sumbawanga wasioelewe??gambushi???
Asioe Tanga, naunga mkono hoja
Naskia kuna kabila la tanga sijui ni wabondei, sijui wadigo mweeh chupi mkononi hao!
Una uhakika gani Tanga nzima ni wachawi? acheni ushabikiTanga nzima
Naskia kuna kabila la tanga sijui ni wabondei, sijui wadigo mweeh chupi mkononi hao!
Nyie pigeni kelele tuacheni tuliooa T*A mapenzi yalipoanzia tufaidi, jamani Tanga raha mahaba kwenda mbele, Mwache aoe.
Hivi lini tutasifiwa wanawake wa kingoni, tanga tanga kila siku..
Swala ni kwamba uchawi ni imani sio kabila