Mwanamke wa kitanga

Mwanamke wa kitanga

Wamekufanya nn Tanga? Maana una hasira nao kweliii

Nimeishi Tanga kwa muda mrefu sana, nimeona mengi.

Nilikuwa na ndugu zangu wameoa na kuolewa Tanga, nimeona mengi tu.

Inshort, kama wewe umetoka nje ya Tanga usioe huko, kama ni mwenyeji wa Tanga uo kwenu.

Ndege wa rangi moja wanaruka pamoja.
 
mwache dogo aoe Tanga, ila usisahau kuja kutupa majibu baada ya miezi 7.
 
Bro acha dogo akayaone maisha ndoa ya kitanga full kudekezwa,atajuaje kama maisha ndoa yana raha na karaha
 
awe muangalifu wengi tumeoa huko na hakuna matatizo wenye matatizo hayo ni w.d.go, wenye mji wa tanga wenyewe mapenzi yao kama hauko makini utasahau nduguzo.
 
Back
Top Bottom