mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Habari wana MMU
Natumai hamujambo
Kuna mdogo wangu ameanzisha mahusiano na mtoto wa KITANGA kwa kweli anampenda kupita maelezo na lengo ni kufunga nae ndoa haraka iwezekanavyo. Kiuwezo ameshajipanga na kila kitu juu ya harusi yake na huyu bint.
Tatizo linakuja kwa wazazi wake mwanaume hawataki mtoto wao amuowe MTANGA kwa kuamini kua Tanga ushirikina umetawala ukiowa kabila hilo lazima usahau kwenu uwatese ndugu zako si kwa kuwa wako juu kimapenzi tuuuu ila wanaamini kua mapenzi ya Tanga ni ushirikina lazima mwanaume uzibitiwe kisawa sawa.
Jamani ivyo haya maelezo ni ya kweli?
Pia jeee tabia za wanawake hawa ziko vipi ili nipate nafasi ya kumshauri mdogo wangu huyu.
Msaada wenu ni muhimu wana bodi