Hawa wanawake wa kirangi wanapatikana sehemu gani pale Singida? Umenisisimua sana kwa maelezo yako mkuuMungu wangu usijaribu hata kidogo utajuta kwenye ndoa yako yan hata kama umepanga lazima baba mwenye house atakula, vijana mtaan watakula, marafiki zako watakula, mpaka house boy atakula nakueleza sina hamu nao kabisa
Hawa wanawake wa kirangi wanapatikana sehemu gani pale Singida? Umenisisimua sana kwa maelezo yako mkuu
Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu
Hahaha, hapana mkuu, nilitaka tu kuwafahamu vizuri zaidiwapo Kondoa, unataka mmoja? M' ninae mmoja pia
hakika m siku nikimpata mrangi simwachi, naoa ila kungalia maana naju uhuni siyo tatizo la kikabila bali la mtu mwenyewe...ikitokea akawa kicheche basi ntamwaga manynga ila sitahukumu kabila lote..nitajua ni tabia ya mtu niliyechukua...
Hahaha, hapana mkuu, nilitaka tu kuwafahamu vizuri zaidi
Hahaha, hapana mkuu, nilitaka tu kuwafahamu vizuri zaidi
mh! huyo kweli alioa kicheche! mpaka mjomba mtu? sasa unamaanisha mjomba wake demu au au mjomba wake jamaa? hebu fafanua tukuelewe...Du ndugu yangu naona unataka kujitia kitanzi kabla ya wakati wako,hawa warangi hawafai kabisa si wanawake wala wanaume,nina rafiki yangu alioa mrangi, akaja mjomba wake kumtembelea jamaa kwenda kazini kumbe mjomba anakula uroda huku nyuma kila siku,siku ya siku bahati mbaya jamaa kurudi nyumbani mapema ,anakuta mjomba yuko juu anakula vitu ni noma.jamaa taraka hapo hapo
una maana gani? kwamba ntakuwa nikioa mrangi nijiandae kuachika?unajua shughuli ya kuwa na watoto wenye mama tofauti tofauti..?
Sikiliza mkuu, Tabia za watu huwezi kuzigeneralise kwa makabila, kwani tabia zzipo za kila aina ktk kila kabila, mm sidhani kigezo hapa kama ni kabila, issue ni tabia ya mtu, na unachotakiwa kufanya ni kumchunguza mhusika mazingira anapoishi, tabia yake na maadili ya familia alikotoka kwa wazazi wake , hiyo itakupa picha kamili. nimetembea sehemu tofautix2 ktk tanzania na hata nje na tz, kitu ambacho naweza kukuambia hakuna mwanamke ambaye ni perfect, mwanamke ili akuvulie chupi ni lazima kwanza ajiashue secrecy ya kutosha, awe huru na wewe, na ajisikie secure na wewe, hayo tu kwa mwanamke yeyote duniani hata mtoto wa obama unaweza chukua. tunachojali hapa ni yale maadili ambayo mtu binafsi anakuwa naye regardless of kabila, dini au chochote kile, kwa hiyo maadili kwanza.
Huko kwingine sipaongelei ila kuna haya,
1.Ukimwoa yeye ukoo wooote ni wako,
2.Wanaamini sana mambo ya mila kama wenyeji wa Kule waja leo waondoka leo(sorry)
3.Ni swala 5 kama ni mwislam ila kama sio sijajua
4.Adabu tu umepata.
Du ndugu yangu naona unataka kujitia kitanzi kabla ya wakati wako,hawa warangi hawafai kabisa si wanawake wala wanaume,nina rafiki yangu alioa mrangi, akaja mjomba wake kumtembelea jamaa kwenda kazini kumbe mjomba anakula uroda huku nyuma kila siku,siku ya siku bahati mbaya jamaa kurudi nyumbani mapema ,anakuta mjomba yuko juu anakula vitu ni noma.jamaa taraka hapo hapo
duh! hiyo kiboko, nadhani alipiga chini hapohapo!Mjomba wa mwanamme!
kwa nini? umekata tamaa na hao watu?mmh! akili na macho havifanyi kaz kwa hiz coment! ngoja kwanza nipumzike!
mungu wangu usijaribu hata kidogo utajuta kwenye ndoa yako yan hata kama umepanga lazima baba mwenye house atakula, vijana mtaan watakula, marafiki zako watakula, mpaka house boy atakula nakueleza sina hamu nao kabisa
Hii ya mjomba nimeishuhudia kwa makabila mengi tu, including warangi sasa sijui na hayo makabila mengine tusioe au inakuaje.
Nimeishi 90% ya Tanzania yote na kati yake 80% wanawake wa sehemu nilizoishi wana tabia hizohizo. Nilikuwa napatwa na kizunguzungu kila nikifikiria kuoa kutokana na mambo niliyoshuhudia mwenyewe bila kuhadithiwa.
Kwa mtu aliyejichanganya sehemu kubwa ya Tz ukimuuliza wanawake wa wapi ni watulivu, anaweza akashindwa kupata jibu. Kwa yule ambae hajajichanganya ataishia kusema warangi, wanyiramba wapare ndio hawafai. Lakini ukimuuliza kwa mfano wapogoro ni vipi? atasema poa ilihali hawajui.