naskia unaweza ukala mpaka shemeji zao wote...ni kweli hayo? nina ham nao sana hawa viumbe nione utamu wao...Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu
Kama ungekuwa unampenda huyo Mwanamke ukabilia usingejitokeza, kwasababu hiyo siyo SABABU kabisa kwa mtu unayempenda. By the way wewe ni mkabilia nakushauri uoe wa kabila lako kwa kuwa unawajua vizuri...
Nisikize Mimi Eric,Hao wadada wa kirangi achana nao fuata ushauri wa zamlock,99% si waaminifu hawaoni hasara kutembea na houseboy,hawaoni hasara kutembea na babamkwe!! Nina mifano hai kibao hao watu usijaribu kabisa lazima watakutafunia tu wavulana wa kitaa biliv dat.
huyo alioa changu, hakuwa mke...hata makabila mengine mbona wanamegwa tu...kweli ndugu yangu kuna kaka yangu alioa mdada wa kabila hyo ile nyumba alopanga karibu masela wote walimpitia hila kwa uzuri wa sura,umbo mungu kawajaalia hla ndo hawawezi kusema hapana
Hapa changanya na za kwako aisee..
Huu sio ushauri ila ni nguvu za giza...
Punguzeni Kashfa... wana Bodi Tabia hizi ni za kitanzania basi kila kabila lina watu wenye Tabia zote Mzisemazo... Nyie Mnatumia Umaskini wa Mtu mmoja mmoja kudharilisha Kabila zima huu ni Upumbavu wa Wana Jf wengi... Mods ningeomba awe anatoa na Ban ndefu kwa Watu wanaokashifu Makabila ya WenzaoImeniuma jamani acheni mie ni chotara wa hayo makabila lakini mbona niko tofauti? Sina wengi sana Nimejaza Dar Express Moja tu na wengine wamesisima halafu kwetu mie ndo mtulivu.
Punguzeni Kashfa... wana Bodi Tabia hizi ni za kitanzania basi kila kabila lina watu wenye Tabia zote Mzisemazo... Nyie Mnatumia Umaskini wa Mtu mmoja mmoja kudharilisha Kabila zima huu ni Upumbavu wa Wana Jf wengi... Mods ningeomba awe anatoa na Ban ndefu kwa Watu wanaokashifu Makabila ya Wenzao
nenda dom waambie nimemfuata mchumba wangu chamwino-kisha zingatia maswali utakayoulizwa
Punguzeni Kashfa... wana Bodi Tabia hizi ni za kitanzania basi kila kabila lina watu wenye Tabia zote Mzisemazo... Nyie Mnatumia Umaskini wa Mtu mmoja mmoja kudharilisha Kabila zima huu ni Upumbavu wa Wana Jf wengi... Mods ningeomba awe anatoa na Ban ndefu kwa Watu wanaokashifu Makabila ya Wenzao
Nyingi humu zimekuwa ni Kashfa Wewe si umesoma humu ati mwanamke wa kabila hilo akikukatalia basi uende ukaoge maji ya baharini? kueleweshana ndio kupo ila kashfa zisiwe too much...Mi-sioni tatizo kuulizia usichojua ili ueleweshwe,wana JF hatuko hapa kukashifiana bali tunatoa michango ya kile tunachokijua,ni swala la muanzisha thread kukubaliana au kutokubaliana na michango ya wana JF ambao nina uhakika kuwa hatuko hapa kuharibiana bali kujengana kama jamii.
kweli ndugu yangu kuna kaka yangu alioa mdada wa kabila hyo ile nyumba alopanga karibu masela wote walimpitia hila kwa uzuri wa sura,umbo mungu kawajaalia hla ndo hawawezi kusema hapana
unajua umeishia hewani bila kumalizia..umesema ulipata mchumba, ina maana hukuoa? kama ulioa ilikuwaje? kama hukuoa ni kwa nini?..hapo kwenye mh..mchumba wako alikuwaje mpaka ukafikia kusema mh?...kaka fanya maamuzi jinsi akili inavyokutuma ila wasichana hao mh... Tayari nilishawahi kumpata mchumba mrangi ni wazuri sana weupe wana maumbo mazuri kweli wamejaliwa tatizo ndio hizo tabia tu
halafu umesema wewe ni chotara wa hayo makabila ya kirang, naomba uwe wifi yangu ili nione kama kaka yangu ataibiwa kama wengine wnavyojaribu kutuaminisha humu...unaonaje? ili tuwathibishie kuwa siyo ukweli....Sio kashfa fikiria kama wewe baba yako na mama yako ni wamakabila hayo ukiwaambia watu kuwa wewe huna tabia hizo nani atakuamini? Ni bora uwaambie kwamba umeshindikana wakati mwenyewe unajijua ulivyo.