ni kweli ila nyie kuhusu hilo mmebobea kwa kweli...mnaweza mkagawa kwa vijana wa nyumba nzima bila wenyewe kujigundua mpaka pale mtakapokuwa mmenasa mimba ndio msala unakuwa mzito maana vijana wale kila mmoja ataanza kujisifu kuwa mimba ni yake kumbe hata huenda kati yao hakuna muhusika...muhusika ni mangi wa gengeni.....big up!