hiyo sifa wala hatunaga
usafi kwetu tumejaliwa
mvuto usipime,rangi ya kuita
viuno feni cha mtt,vingine ni tabia ya mtu
wala si kabila!!tumefundwa tukafundika alaaaa!!
very true...wanawake wa kirangi ni sawa na wanawake wengine tanzania na duniani. usitishwe ndg yang we chunguza tabia yake kama nafsi na uamue mwenyewe!
Mi baba yangu alitaka kuuliwa na mwanamke wa kimachame kisa gari na nyumba! so inshu ya kuua kwa wa rangi kisa nyumba naipinga kwa nguvu zote! kwanza warangi ni wapole na wanahuruma!
ni kweli usemayo,ila miguu mironjo nayo inawaangusha fanyeni mazoezi mpate walau miguu ya kuvalia sketi kama si pensi.
nilitaka kumshauri jamaa yangu ampige chini demu wake wa kirangi ila kwa utetezi wako nimeidhika na nona hina haja kumpelekea huo ushauri labda mpaka yatakapomkuta shingoni maji!
kwani mtu akitafuta mchumba hua anaangalia miguu
reception na figure ndio vinapewa kipaumbele
miguu majaliwa tu si lazima, na kwa rangi yetu
ya mvuto vimini tunavaa bila shida na bado tunavutia hahaaa!!
Mkuu naona unataka kupindisha ukweli wa kabila lako la kichagga,,wachagga wanawezana wenyewe kwa wenyewe mi Uncle wangu alioa mMachame aliipata.
nilitaka kumshauri jamaa yangu ampige chini demu wake wa kirangi ila kwa utetezi wako nimeidhika na nona hina haja kumpelekea huo ushauri labda mpaka yatakapomkuta shingoni maji!
mtawaweza lakini? msije mkaanza kulalamika ...ooooh, mke wangu simuelewi-elewi maana nasiki mziki wao si mchezo kama hujakamilika kitandani...sema tukuleteeni wangapi?Warangi wanatakiwa kwa hamu huku kwetu Zenji!!! nani atuletee?
tunawalimbwata kwa mauno
na makea kibao,rangi, figure zinawachanganya
tunadumu sana kwny ndoa zetu na hatupo kama mnavyojaji
kuhusu umalaya hakuna kabila lisilopenda uchi so ni malezi na makuzi
ya mtu,na tabia ya mtu pia!!umalaya ni tabia ya mtu c kabila!!
ni kweli usemayo,ila miguu mironjo nayo inawaangusha fanyeni mazoezi mpate walau miguu ya kuvalia sketi kama si pensi.
Mimi ni mcolor na wala sioni aibu kumwambia mtu mbona kuna mademu wanajaza Dar exp na sio warangi? naona mnashindwa kuoga mkatakata kwa ajili yetu.
...Hakka kwa ufndi wa uwanjan yaan hayo mauno na kachumbar wa hamuwez kve sema wa2 uwa 2nafkria kwa dhana ambayo haipo ksha 2nawakmbia. Lakn hao wake na shemeji zang hawapo nyma kwa k2hdmia kama kawa hawa ni jamvi la wageni. Endelee k2hdmia jamani.
Acha kudhalalisha wanawake wenzio bhana!
unasemaje? umbo namba 9? hilo si itakuwa kama sanamu la michelin?
wivu unamsumbua
si unajua wao figure ni no 9?
unasemaje? umbo namba 9? hilo si itakuwa kama sanamu la michelin?
Usisahau maandalizi wakija kusalimia wanakuja kumi na zaidi na kuondoka mpaka ufukuze, akienda likizo ya uzazi anamwacha mdogo wake wake ili usicheze mbali. kazi kwako mkuunakutakia ndoa njema. mia