Jamani kwa mara nyingine tena naomba niwajuze kuwa nahitaji mwanamke wa kiarabu na nikisema mwanamke wa kiarabu nina maana mwanamke wa kiarabu naomba niwasilishe.
Upo wapi ngosha? Kama upo shinyanga panda kamin bus kuna waarabu kibao wa Bukombe hawana hata ndugu uarabuni, wanaongea kisukuma mwanza mwisho ila ni waarabu!
Mara utaskia waziri fulani kakosea no mara balozi fulani nae kakosea no,like tha like mara upande mwingine kilio mara mvulana wa f2 au wa chuo nae kakosea no. Dunia ndo ilivyo watu na bahati zao.